kungonolize kabla ya marriage, je ni sign ya kupenda au kupendwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kungonolize kabla ya marriage, je ni sign ya kupenda au kupendwa?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by lukme, Aug 10, 2012.

 1. l

  lukme Senior Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 191
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  je kupeana tundi b4 marriage is it a sign that u lov ur partner
   
 2. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Hapana!
   
 3. marrykate

  marrykate JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 589
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  ni matamanio ya mwili, hayana uhusiano wowote na kupendana
   
 4. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  Uzinzi tu
   
 5. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Kwa research ambayo siyo rasmi 30% ya wanaongonoka kabla ya ndoa ndo wanaoana na kujenga familia na 70% iliyobaki wanaachana na kutafuta wenza wa ukweli so jitaidi kuyashinda matamanio yako.Hakuna kitu kizuri kama siku ile ya honeymoon ndo mnajuana siku hiyo whether ni bikira au sio bikira but inaleta sana heshima just trust me na pia inaleta maana ya neno honeymoon otherwise is unwise
   
 6. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mapenzi hayapimwi kwa uzinzi, kuna vitu vya ziada mbali na hilo. Unaweza ukawa na mtu na akakupa tundi lakini akawa hakupendi hata kidogo.
   
 7. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  This is not a sign of love, people may have sex for many other things but not a love.
   
 8. phina

  phina JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 414
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  if anything i think having sex before marriage means hampendani!just lust..and lust is exciting and takes over you in such a strong and amazing fashion that we like think it is a good thing!it is never a good idea..
   
 9. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  mnasema kutoka moyoni au kufuraisha watu?
   
 10. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #10
  Aug 10, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Before marriage love can be expressed in many different ways and does not have to involve sex. If your partner really loves you.... he or she will not demand sex when you are not ready for it.

  If he or she is demanding sex from you, it may be a good sign that he or she does not really love you and may very well dump you after getting sex.
  ....Sex may be all they are interested in.


  some WaYs of expressing your lOvE, before without having sex:

  • Share hobbies and learn new things together
  • Study together and learn life skills.
  • Read and discuss books about relationships, marriage, and love.

  • Spend time together where other people are around so that the urge to have sex is reduced.NA HAPA NDIPO WENGI TUNAPOSHINDWA...TUNAPENDA KWENDA CHAMBER..KUITANA MAGETONI...LOL
  • Chat and learn about the deep thoughts of each other by having long and deep talks. This will strengthen your bond and you will understand each other better.
   SI LAZIMA "TO DO"...hahahaaa

   
 11. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #11
  Aug 10, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,728
  Likes Received: 12,797
  Trophy Points: 280
  Si kweli!
   
 12. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #12
  Aug 10, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  product testing
   
 13. Me370

  Me370 JF-Expert Member

  #13
  Aug 10, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 995
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  kama demu cjamla cmuoi. Ctaki biashara ya kukuta mfuko wa rambo wakati nshaoa.
   
 14. B

  Bibi yaga Member

  #14
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 5, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe uliye kwenye ndoa, sema ukweli hukuzini na huyo mumeo uliye nae kabla hajakuoa??
   
 15. Mr. Mwalu

  Mr. Mwalu JF-Expert Member

  #15
  Aug 10, 2012
  Joined: Feb 4, 2010
  Messages: 811
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 60
  sorry just for curiosity, ushaoa wangapi?
   
 16. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #16
  Aug 10, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  yap kwa .com kwa wazamani watabisha
  sababu
  1 hakuna mwanamme anayeoa kwa sasa na akakuta demu bikra labda ya mchina na zipo kibao ukitaka niambie
  2 wanaoana tayari wanajuana vyema yaan wanaenda kuhalalisha kitendo na demu tayari ana mimba
  3 mihemko, vishawishi,umaskini, utandawazi vinaongeza mshawasha wa ku do be4fe marriage
  4 utampendaje mtu wakati humpi mapenzi?
  kwa wa long........
  1.mchumba unatafutiwa na ni marufuku kumkataa
  2. walikuwa wanaolewa wadogo so unakuta kitu kipo tait
  3. hakuna utandawazi so vishawishi no
  4. walikuwa wakifanya kazi zito ajabu MATAMANIO UTAYAPATA WAPI
  mdau unaposema ni matamanio ya mwili tu! napata shida kidogo kukuamini TEST BEFORE EAT!!
  angalizo.....ukiiwahisha inamadhara,ukiichelewesha inamadhara pia, be in the middle
   
 17. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #17
  Aug 10, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Yes ni sign ya real love kuonyesha unajali hisia za mwenzio!
  Na tusije danganyana eti hakuna kuDo kabla ya ndoa! Wanaofanya hivyo ujue watavumilia kwa kuwa upande Fulani una msimamo usio na maana na wanaishia kuibiwa! Hii pia imechangia mahusiano mengi kuvunjika hasa mnapofumana ESP kwa kosa la mwenzi wako kuchomoka nje kwa kutokujali hisia zake!

  Ieleweke kwamba Kama mtu hakupndi hakupendi tu! Either ale mzigo kabla au akiwapatia ndani ya ndoa, na Kama mtu akiamua kukupiga chini atakupiga chini bila kujali amepiga game au la!

  My perspections!
   
 18. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #18
  Aug 11, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  yani kudadadeki mimi nakuachaa lazma unipe nijihisi na mim nina mpenzi
   
Loading...