Sina mazoea ya kupanda Daladala Dar, kuna siku nimetumia usafiri huu jijini Dar, sikuwa na jinsi kusubiria gari lenye nafasi maana yote yalionekana kujaa nikaamua nifuate wenye mazoea kushikilia...
habari zenu wana mmu! si shaka mu buheri wa afya tele!
ama kweli dunia hii haiishi kuishiwa visa, mikasa na mitikisiko! hapo poote tu, washiriki wakuu ni viumbe wawili wenye akili zao timamu...
Anayekutongoza, aahidi kuwa nawe siku zote? atoe mahitaji ya muhimu?
Anayekutongoza, lazima akudanganye danganye hata maahali pasipotakiwa kudanga
Anayepewa tunda...lazima aahidi kuwa na wewe na...
ni msichana niliyekuwa naye kwenye uhusiano kwa muda mrefu bila tabu yoyote na yani tulikuwa kwenye furaha jana tu tukala na kucheka pamoja sasa eti leo kaamka tu asubuh anasema...
sijui wadada kama mnalijua hilo mnawaazima magari wapenzi wenu na kuwajazia mafuta kumbe wanaenda kula bata na mademu wengine.Kisu chako kinakuchinja mwenyewe
Wkt mwingine unaweza ukawa unalalama bure tu kwamba huna bahati ya kudumu kwenye mahusiano au kupata mwanaume wa kukuoa kumbe tatizo liko kwako ww mwenyewe
Utakuta demu mkali tu tena ni...
Baada ya maisha yaliyojaa purukushani,kasheshe na hekaheka ya uanaume hatimaye nimekituliza kwa mtoto wa kinyalu tunayetegemea kufunga nae ndoa hapo mapema mwakani nikiwa kama mwana MMU...
mapenzi yana kauli mbiu ya uongo.
Unakuta jamaa ana wapenzi kama wanne na wote kawapiga picha,kinachotokea msichana m1 akitaka kuja jamaa anaondoa picha zote za m2,m3 na m4 na kuzificha,wewe...
Kwa mda mrefu nimesikia kuwa wanawake wa zanzibar
ni wajuzi zaidi kwenye mapenzi kuliko wabara.....
But binafsi sijawahi kuona wanachozidi......
I mean nimewahi kutoka na wanawake wa kizenji...
Kumekuwa na mazoea ya kuiga na pengine kujenga mazoea ya kuvaa viatu ambavyo pengine asili yake ni kwa matukio au maonyesho ya mavazi tu na kibiasahara, lakini watu hawako na tahadhari ya madhara...
Rafiki yangu anaomba ushauri.
Ni msichana wa miaka 28 mzuri wa tabia, ana mvuto, wife material, mrembo, mchakarikaji wa maisha. Ana mchumba wake wa miaka miwili sasa. Mchumba huyo hamjali binti...
Kuna katabia sijui ndio digitali yenyewe,mke wa mtu(wenye ndoa kabisa) akijua mwenzake:
1.Amesafiri kikazi let say siku 5-Katika siku hizo tano lazima agegedwe nje sio chini ya mara...
Au dawa ya aina yoyote ya kuongeza nguvu za kiume au kuchelewa kufika kileleni?
Kuna spray inapulizwa kwenye kichwa ambayo inasababisha kuchelewa kufika kileleni nimewahi tumia na inasaidia...
Salamu kwenu wana jf,
Embu nisaidieni wadau, hivi unakuta msichana hajawahi kusex ila kwa udhaifu wa kimwili anajitia vidole ukeni.
Sasa kapata mchumba akamwelezea ukweli kwamba hajawahi kusex...
Ndugu wadau naona kuna mada nyingi sana za watu kupeana tips za kutongoza, kumu impress mtu na eventually tips za date nk
mada hii inajikita baada ya kuwa mmefanya date kadhaa mbili tatu ivi au...
Nimekaa zangu kwa ofisi, mara kaja office mate wangu, kama kawaida, baada ya kazi kunoga tunapiga story mbili tatu kuhusu maisha. Nikatoka zangu kwenda ATM mashine kuangalia kama salio limesoma...
Yaani MATATIZO YANGU Ya Mahusiano ni sawa tu na Diamond. Kwasababu mpaka sasa sijui hataa NIMPENDE NANI coz hapa nilipo usinione hivi kwani mwenzako NALIA NA MENGI yaani nimevurugwa hadi
NATAKA...