Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,494
- 12,466
Uswahilini kwenye nyumc za kupanga hii kitu ndo sana tu wadada wanapenda sana kuanika ch*pi zao bafuni sijui kwa nini?, unakuta mchupi umetundikwa kwenye msumari nyuma ya mlango wa bafu daah na ukijua mama flani ndo katoka kuoga ha ha ha ha noma kweli kweli.......
