Kuoana agemates(umri mmoja) hii imekaaje!?

candymarry

Member
Joined
Aug 4, 2012
Messages
32
Points
70

candymarry

Member
Joined Aug 4, 2012
32 70
[HR][/HR]Habari wana MMU, leo nimekuja kwenu tena kuna jambo linanitatiza kidogo kwani nimejiuliza sana, mara nyingi katika jamii yetu tuliyolelewa tumekuwa tukiona kuwa watu wanapochumbiana na hatimae kuoana, mara nyingi mwanaume ndio anakuwa mkubwa na endapo itatokea mwanamke ni mkubwa basi kutakuwa na either pingamizi au changamoto kwa wazazi wa pande zote mbili pamoja na jamii kwa ujumla. Swali langu kwenu ni je jamii inachukuliaje swala la watu kuoana wakiwa na umri mmoja, na pia humo ndani wataishi kwa kuthaminiana, kuheshimiana na kuvumuliana kama vile ambavyo wangeishi ikiwa mwanaume ni mkubwa kwa mwanamke?
 
Ndukidi

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2012
Messages
1,351
Points
2,000

Ndukidi

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2012
1,351 2,000
Ni kawaida tu as long as mnapendana. Nina rafiki yangu na mkewe wamepishana 3 days, mke mkubwa, na wako kwenye ndoa huu mwaka wa kumi na moja swaafi kwa heshima zote. Sio tatizo kabisa.
 
Double K

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Messages
907
Points
225

Double K

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2012
907 225
hii sio tatizo kabisa kikubwa ni dhamira na jinsi mtakavyochukulia ninyi wenyewe. ndoa ni kati ya watu wawili sasa sijui wewe huyo wa kukupa stress anatoka wapi kama nyie mnapendana na kila mmoja anajua na kutimiza wajibu wake. dont let him/her go kwasababu hiyo u might regret my dear age sio ndoa ila mtu mwenyewe. we jaribu kuchukua std seven unaweza ukapiga ukunga ukakimbia nyumba.
 
SMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2008
Messages
8,768
Points
2,000

SMU

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2008
8,768 2,000
.Ila wanaume wanachelewa kukua! Mwanamke wa 20 mpe mume, watoto, nyumba, atocope hadi ushangae ila mtoto wa kiume 20yrs akili zake zote ziko kwenye suruali bado na kurizisha dudu!
lara 1 , kwa hiyo "Age is NOT just a number"?
 
Last edited by a moderator:

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2009
Messages
6,174
Points
2,000

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2009
6,174 2,000
[HR][/HR]Habari wana MMU, leo nimekuja kwenu tena kuna jambo linanitatiza kidogo kwani nimejiuliza sana, mara nyingi katika jamii yetu tuliyolelewa tumekuwa tukiona kuwa watu wanapochumbiana na hatimae kuoana, mara nyingi mwanaume ndio anakuwa mkubwa na endapo itatokea mwanamke ni mkubwa basi kutakuwa na either pingamizi au changamoto kwa wazazi wa pande zote mbili pamoja na jamii kwa ujumla. Swali langu kwenu ni je jamii inachukuliaje swala la watu kuoana wakiwa na umri mmoja, na pia humo ndani wataishi kwa kuthaminiana, kuheshimiana na kuvumuliana kama vile ambavyo wangeishi ikiwa mwanaume ni mkubwa kwa mwanamke?
Ishukuriwe kwamba baada ya mapinduzi ya Elimu, na watu kufunguka macho kwa kuona dunia inavyokwenda Jamii yetu imeanza kubadirika.......Umri wa wanandoa hauna cha kufanya katika ndoa
 
TheChoji

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2009
Messages
1,481
Points
2,000

TheChoji

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2009
1,481 2,000
Hoja zilizopo nyuma ya ishu hiyo ni kuwa mwanamke huwa anawahi kuzeeka kabla ya mwanaume. Kwahiyo mwanamke inabidi awe mdogo kiumri ili asije akazeeka wakati mumewe bado atakua kijana kwani wanaume wanaendelea kuwa vijana kwa muda mrefu.. na hivyo kuleta hatari ya dogodogo. Pia kuna madai kwamba mkioana watu mnaolingana heshima itapungua ndani ya nyumba.

MY TAKE: Zamani, enzi za baba zetu, ni kweli akinamama walikuwa wanawahi kuzeeka sababu ya nature ya kazi walizokuwa wanafanya, staili za maisha na IDADI ya watoto walioikuwa wakizaa (8 - 12). Sidhani kama kigezo hiki bado kina mashiko ukizingatia wamama wengi siku hizi wako kisasa, sop sop, wanakula fresh,kazi laini laini, full viyoyozi kila mahali, hakuna tena kupuliza moto.. n.k mambo yote gesi, umeme. Siku hizi mtu kazaa saana ni watoto wawili watatu tena wanapishana miaka mi5. Heshima kama ipo ipo tuu kama haipo ndio hivyo tena.
 
speechless

Senior Member
Joined
Oct 1, 2013
Messages
101
Points
170

speechless

Senior Member
Joined Oct 1, 2013
101 170
[HR][/HR]Habari wana MMU, leo nimekuja kwenu tena kuna jambo linanitatiza kidogo kwani nimejiuliza sana, mara nyingi katika jamii yetu tuliyolelewa tumekuwa tukiona kuwa watu wanapochumbiana na hatimae kuoana, mara nyingi mwanaume ndio anakuwa mkubwa na endapo itatokea mwanamke ni mkubwa basi kutakuwa na either pingamizi au changamoto kwa wazazi wa pande zote mbili pamoja na jamii kwa ujumla. Swali langu kwenu ni je jamii inachukuliaje swala la watu kuoana wakiwa na umri mmoja, na pia humo ndani wataishi kwa kuthaminiana, kuheshimiana na kuvumuliana kama vile ambavyo wangeishi ikiwa mwanaume ni mkubwa kwa mwanamke?[/QUOTE hii kitu nahic kama inakuhusu hivi moja kw moja! Mie pia n muhanga w hii ki2but kama mnaelewana n mmwkubaliana mwaweza oana coz nyie ndio mtakaokuwa ktk game hao wengine n masha biki. b
 
NnyaMbwate

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Messages
1,655
Points
2,000

NnyaMbwate

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2010
1,655 2,000
AGE IS JUST A NUMBER!!!!!!!! A person is as old as he feels!

Ila wanaume wanachelewa kukua! Mwanamke wa 20 mpe mume, watoto, nyumba, atocope hadi ushangae ila mtoto wa kiume 20yrs akili zake zote ziko kwenye suruali bado na kurizisha dudu!
Wee lara 1 wewe!!! Umenichekesha sana leo! Haya bana! Mimi mke wangu kanizidi 2 yrs, tuko ndoani 21 yrs now na tunaishi kama tumeoana Jana! Ombeni sana kwa Mungu mpate wake/waume bora!
 
Last edited by a moderator:

Excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Messages
18,820
Points
2,000

Excel

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2011
18,820 2,000
Mmmh! Bora kidume kikue kwanza aisee! Mtoto wa kike katika malezi ya kiafrika, amelelewa toka mdogo katika mfumo wa kulea familia!
Hivyo, wakati wowote ule, anaweza kuwa mama. Lakini kwa upande wa boys, malezi ni tofauti kabisa!
Maisha wanajifunzia ukubwani!

Boy akiwa 26 to 20 kwa girl, wataendana!
 
Christine1

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
12,995
Points
2,000

Christine1

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
12,995 2,000
Hoja zilizopo nyuma ya ishu hiyo ni kuwa mwanamke huwa anawahi kuzeeka kabla ya mwanaume. Kwahiyo mwanamke inabidi awe mdogo kiumri ili asije akazeeka wakati mumewe bado atakua kijana kwani wanaume wanaendelea kuwa vijana kwa muda mrefu.. na hivyo kuleta hatari ya dogodogo. Pia kuna madai kwamba mkioana watu mnaolingana heshima itapungua ndani ya nyumba.

MY TAKE: Zamani, enzi za baba zetu, ni kweli akinamama walikuwa wanawahi kuzeeka sababu ya nature ya kazi walizokuwa wanafanya, staili za maisha na IDADI ya watoto walioikuwa wakizaa (8 - 12). Sidhani kama kigezo hiki bado kina mashiko ukizingatia wamama wengi siku hizi wako kisasa, sop sop, wanakula fresh,kazi laini laini, full viyoyozi kila mahali, hakuna tena kupuliza moto.. n.k mambo yote gesi, umeme. Siku hizi mtu kazaa saana ni watoto wawili watatu tena wanapishana miaka mi5. Heshima kama ipo ipo tuu kama haipo ndio hivyo tena.
yes
umeeleza vzr sana

infact ni maelewano na km mnapendana kwa dhati mengine hatana nafasi
 
candymarry

Member
Joined
Aug 4, 2012
Messages
32
Points
70

candymarry

Member
Joined Aug 4, 2012
32 70
[HR][/HR]Habari wana MMU, leo nimekuja kwenu tena kuna jambo linanitatiza kidogo kwani nimejiuliza sana, mara nyingi katika jamii yetu tuliyolelewa tumekuwa tukiona kuwa watu wanapochumbiana na hatimae kuoana, mara nyingi mwanaume ndio anakuwa mkubwa na endapo itatokea mwanamke ni mkubwa basi kutakuwa na either pingamizi au changamoto kwa wazazi wa pande zote mbili pamoja na jamii kwa ujumla. Swali langu kwenu ni je jamii inachukuliaje swala la watu kuoana wakiwa na umri mmoja, na pia humo ndani wataishi kwa kuthaminiana, kuheshimiana na kuvumuliana kama vile ambavyo wangeishi ikiwa mwanaume ni mkubwa kwa mwanamke?[/QUOTE hii kitu nahic kama inakuhusu hivi moja kw moja! Mie pia n muhanga w hii ki2but kama mnaelewana n mmwkubaliana mwaweza oana coz nyie ndio mtakaokuwa ktk game hao wengine n masha biki. b
Hapana mkuu hainihusu mojakwamoja ila ni jambo ambalo nimelifikiria kutokana na kuona watu wangu wa karibu
 
Daud omar

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2011
Messages
2,461
Points
1,225

Daud omar

JF-Expert Member
Joined Apr 4, 2011
2,461 1,225
Ni kawaida tu as long as mnapendana. Nina rafiki yangu na mkewe wamepishana 3 days, mke mkubwa, na wako kwenye ndoa huu mwaka wa kumi na moja swaafi kwa heshima zote. Sio tatizo kabisa.
Wew 3 days tu?? Mbona bibi yetu mbunge aliolewa na kijana wetu yule na maisha yalienda tu?? sema baadae ndiovyo, Ahya angalia tafauti ya miaka yao 25-65, parefuu..
 
badiebey

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Messages
5,883
Points
1,500

badiebey

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2013
5,883 1,500
I thnk it works km mwanaume kashajielewa,woman ht 18 anaweza kuhandle marriage,
ndo mana relationship wt a cougar works kama mwanaume walau kashafikisha 25 hv,ht km woman ni 40 ngap km kna mariah carey,madonna etc uhusiano unaendelea vzur tu
 
Bukyanagandi

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2009
Messages
7,898
Points
2,000

Bukyanagandi

JF-Expert Member
Joined Jun 24, 2009
7,898 2,000
AGE IS JUST A NUMBER!!!!!!!! A person is as old as he feels!

Ila wanaume wanachelewa kukua! Mwanamke wa 20 mpe mume, watoto, nyumba, atocope hadi ushangae ila mtoto wa kiume 20yrs akili zake zote ziko kwenye suruali bado na kurizisha dudu!
Mkuu, kibailojia wanawake wanakomaa kiakili mapema zaidi kabla ya wanaume.
 
Forum statistics

Threads 1,392,158
Members 528,552
Posts 34,100,250
Top