• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Nimeamua kujiunga CHAPUTA kuepuka streas zisizo na sababu.

Kitoabu

Kitoabu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Messages
5,789
Points
1,250
Kitoabu

Kitoabu

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2011
5,789 1,250
Maisha ni wewe mwenyewe unavyo taka yawe. Ukitaka kuishi ktk shida utaishi hivyo, Pia Ukitaka uziepuke shida zisizo na msingi pia inawezekana chaguo ni lako. Kwamuda mrefu nimevumilia mateso ya mapenzi lakini sasa nasema basi. Basi jamani sitaki shida, wacha niangalie aina nyingine ya Maisha. Kama tatizo watoto tayari ninao, ugeni ktk mapenzi sina, niliowahi kutembea nao wengine hivi sasa ni marehemu. Labda tatizo umri? Hapana umri nilio nao sio wakubuluzwa kisa mapenzi . Sasa nangoja nini ktk mapenzi ? Ukimwi? Au mpaka nilishwe nyama ya mbeleni? Hapana nasema hapana . Bora nichague aina nyingine ya Maisha. Bora niachane na mapenzi niamie CHAPUTA. Kwanza nimegundua CHAPUTA hakuna streas niwewe tu na roho yako ukitaka kufanya kwasiku mara tano hakuna atakae kuuliza, Ukitaka kufanya popote saa yoyote ni wewe tu . CHAPUTA hauombwi ela ya kipodozi wala mtoko. CHAPUTA hakuna sijui nimemfumania nafulani anhaaa!!!
 
deepsea

deepsea

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2013
Messages
3,296
Points
1,500
deepsea

deepsea

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2013
3,296 1,500
mkono utaisha sasa kila saa unaugegeda
 
Lamchina

Lamchina

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Messages
240
Points
0
Lamchina

Lamchina

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2010
240 0
Bora niachane na mapenzi niamie CHAPUTA.
[/QUOTE]
Ni nini mkuuau chama gani?
 
M

Mkempia

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2013
Messages
1,143
Points
1,225
M

Mkempia

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2013
1,143 1,225
Kweli umeamua kufanya maamuzi magumu sana.
 
Mashaxizo

Mashaxizo

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Messages
6,714
Points
1,225
Mashaxizo

Mashaxizo

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2013
6,714 1,225
Sijui kwa nini nachukia watu wanao(lio)kata tamaa!!!!
...
Nilitaka kukugongea like kutokana na utangulizi wako!
"life is soo sweat!"
sure every thing happens for a specific reason!
Sipendi kuconculude kuwa hiyo hali umejitakia mwenyewe! But nikisema you deserve it, sidhani kama nakosea!
Utapandaje mahindi huku ukitegemea mtama?
...
CHAPUTA!
CHAPUTA!
CHAPUTA!
Nani kakudanganya hicho chama ni kizuri?
Eti "hutoombwa hela ya vipodozi!" are you serious?
Hela ya vipodozi ndio tatizo?
...
Wake up!
Wake up!
Wake up!
Kuna mtu alidifine life hivi: LIFE IS A PROBLEMS!
Ulishawai kuskia hiyo?
Jee unakubaliana na hilo?
Do you think kuna mtu hana matatizo?
...
Embu jikubali! Usikate tamaa!
Laiti ungejua matatizo ya wengine kwenye mapenzi, mbona mkia ungeukunja mapajani!
...
My take!
Don give up!

Mwenye kiti ni mimi mwenywe, katibu Sabuni/ mafuta ya mgando au mate, office mahala popote pasipo na bughdha.
 
kichomiz

kichomiz

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
15,633
Points
2,000
kichomiz

kichomiz

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
15,633 2,000
CHAPUTA??? ahahahahahaaaa!!!!
 
Kitoabu

Kitoabu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Messages
5,789
Points
1,250
Kitoabu

Kitoabu

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2011
5,789 1,250
Sijui kwa nini nachukia watu wanao(lio)kata tamaa!!!!
...
Nilitaka kukugongea like kutokana na utangulizi wako!
"life is soo sweat!"
sure every thing happens for a specific reason!
Sipendi kuconculude kuwa hiyo hali umejitakia mwenyewe! But nikisema you deserve it, sidhani kama nakosea!
Utapandaje mahindi huku ukitegemea mtama?
...
CHAPUTA!
CHAPUTA!
CHAPUTA!
Nani kakudanganya hicho chama ni kizuri?
Eti "hutoombwa hela ya vipodozi!" are you serious?
Hela ya vipodozi ndio tatizo?
...
Wake up!
Wake up!
Wake up!
Kuna mtu alidifine life hivi: LIFE IS A PROBLEMS!
Ulishawai kuskia hiyo?
Jee unakubaliana na hilo?
Do you think kuna mtu hana matatizo?
...
Embu jikubali! Usikate tamaa!
Laiti ungejua matatizo ya wengine kwenye mapenzi, mbona mkia ungeukunja mapajani!
...
My take!
Don give up!
Mkuu naomba inielewe, sijakata tamaa ktk maisha lah!! Nimechoshwa na mapenzi ya com.com .
 
Justin Dimee

Justin Dimee

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Messages
1,146
Points
1,225
Justin Dimee

Justin Dimee

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2012
1,146 1,225
Etii iyoo nyetoo unachaguua demuu waku mgegedaa ataa spikaa wabungee una mvutiaa tu kasii hahaha aiseeh? Nyetoo nyeto apanaa aiseeh duuh?
 
tinna cute

tinna cute

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2013
Messages
4,639
Points
0
tinna cute

tinna cute

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2013
4,639 0
Nakutakia mafanikio mema yenye furaha na fanaka tele katika maisha mapya ulioamua kuyaanza.....
 
Kisali.TechnitianJr.

Kisali.TechnitianJr.

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Messages
593
Points
0
Kisali.TechnitianJr.

Kisali.TechnitianJr.

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2012
593 0
Maisha ni wewe mwenyewe unavyo taka yawe. Ukitaka kuishi ktk shida utaishi hivyo, Pia Ukitaka uziepuke shida zisizo na msingi pia inawezekana chaguo ni lako. Kwamuda mrefu nimevumilia mateso ya mapenzi lakini sasa nasema basi. Basi jamani sitaki shida, wacha niangalie aina nyingine ya Maisha. Kama tatizo watoto tayari ninao, ugeni ktk mapenzi sina, niliowahi kutembea nao wengine hivi sasa ni marehemu. Labda tatizo umri? Hapana umri nilio nao sio wakubuluzwa kisa mapenzi . Sasa nangoja nini ktk mapenzi ? Ukimwi? Au mpaka nilishwe nyama ya mbeleni? Hapana nasema hapana . Bora nichague aina nyingine ya Maisha. Bora niachane na mapenzi niamie CHAPUTA. Kwanza nimegundua CHAPUTA hakuna streas niwewe tu na roho yako ukitaka kufanya kwasiku mara tano hakuna atakae kuuliza, Ukitaka kufanya popote saa yoyote ni wewe tu . CHAPUTA hauombwi ela ya kipodozi wala mtoko. CHAPUTA hakuna sijui nimemfumania nafulani anhaaa!!!
Hawa ndio wale walio mkera yule dada kwenye daladala kwa kucheza pun*t* popote
 
Valentina

Valentina

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2013
Messages
20,888
Points
2,000
Valentina

Valentina

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2013
20,888 2,000
Sijui kwa nini nachukia watu wanao(lio)kata tamaa!!!!
...
Nilitaka kukugongea like kutokana na utangulizi wako!
"life is soo sweat!"
sure every thing happens for a specific reason!
Sipendi kuconculude kuwa hiyo hali umejitakia mwenyewe! But nikisema you deserve it, sidhani kama nakosea!
Utapandaje mahindi huku ukitegemea mtama?
...
CHAPUTA!
CHAPUTA!
CHAPUTA!
Nani kakudanganya hicho chama ni kizuri?
Eti "hutoombwa hela ya vipodozi!" are you serious?
Hela ya vipodozi ndio tatizo?
...
Wake up!
Wake up!
Wake up!
Kuna mtu alidifine life hivi: LIFE IS A PROBLEMS!
Ulishawai kuskia hiyo?
Jee unakubaliana na hilo?
Do you think kuna mtu hana matatizo?
...
Embu jikubali! Usikate tamaa!
Laiti ungejua matatizo ya wengine kwenye mapenzi, mbona mkia ungeukunja mapajani!
...
My take!
Don give up!
Fanyia kazi.
 
Forum statistics

Threads 1,403,376
Members 531,204
Posts 34,421,673
Top