Lets look into 30 things men must know and these points I gathered from my years of consistent counseling.
1 - A LITTLE THANK YOU COULD STRENGTHEN HER.
2 - EVEN WHEN SHE KNOWS SHES...
Jamani mimi naomba kuuliza mtu kukaa na uchumba miaka mingi huwa mnatafuta nini? mwanamke unakubali kuliwa papuchi miaka yote hiyo bila ndoa matokeo yake mkisalitiana kukwepa aibu mnakimbilia...
Habari zeinyu wadau wa MMU?
Natumaini mu buheri wa afya, hasa baada ya pilika za hapa na pale za maadhimisho ya uhuru wa Tanganyika.
Siku hizi umeibuka mtindo ambao mume akimfumania mkewe...
Je umeshawahi kujiuliza ni kwa nini wanawake ndiyo wanao lalamika sana kuhusu ugumu au matatizo ya ndoa kuliko wanaume? Inawezekana ni kwa sababu wanawake ni wakosoaji na wanaotaka zaidi kwenye...
Niko Scandinavia, na nitafurahi kupata mwanamke aliyeko huku tuwasiliane ili tuone tutafikia wapi. Ningependa kupata mwanamke mwenye kujitambua, mwenye elimu/kazi/biashara yake ama hata...
Kwa hisani ya snowhite.......!!!!!!!!!!!!!!
snowhite alimuomba Babu Dark City afungue uzi kuhusiana na vivulana kuzidiwa na vibinti ujanja hadi kushindwa kuvishawishi kuvivua kyupi hadi kufikia...
1.zidisha upendo kwa mumeo ili asikugundue
2.heshima izidi maradufu kwa mumeo
3.kutaneni sehemu za mbaliiiiii na nyumbani.
,4.tafuta kidumu 40 and above
5..awe ameoa pia ili msianze kugandana...
Wakubwa wengi wamekuwa wakiona ninavyopinga kuharalisha kuzini kama tendo la ndoa.Kuzini ni kufanya uingiliano kati ya mwanamume na mwanamke asiye mke au mume wako.
Kwa maana nyingine ni kufanya...
Habari zenu wana Jf hasa wa humu humu jukwaa pendwa!
Bila kupoteza muda,ninatatizwa na hili kila nikitaka kuoa au kuamua niishi na nani.
Kwa kipindi cha mwaka mmoja nilikuwa kwenye mahusiano na...
wazee nimekuta mzozo wa hawa dada zetu, suzi, joyc na mary, suzi anamcheka joyc kuwa na mwanaume mwenye ela ila anasura mbaya kiac kwamba wakifunga haruc itawachekesha sana watu kwani hawaendani...
Wanabodi,
Jana kulikuwa na kizaza mitaa ya kwetu.
Kijana anaishi na rafiki yake wa kike chumba kimoja wakiwa na mtoto tayari mwenye miaka mitatu.
Wao bado wanaitana wachumba aka 'girfriend and...
Habari za Leo wana MMU, Kabla sijaenda mbali niongee kwa uchache kilichonisibu mpaka nikaandika hii thread. Nikiwa bado na makovu ya majeraha ya mapenzi, Moyo wangu umekuwa kama umekufa Ganzi...
Imebainika:wanandoa wanaweza wakaa mwezi mzima wakashiriki tendo la ndoa mara mbili tu na hali wanalala chumba na kitanda kimoja na pia wanaelekea upande mmoja,na inapotokea wanandoa hao wakawa...
Hivi jamani, mnazijua gharama anazoingia bwana harusi hadi anapooa? Katika hali
ya kawaida kabisa, kama wewe ni mwanaume na unataka kuoa, jiandae kwa mambo
haya:
1. Kujitambulisha ukweni. Hapo...
Husika na kichwa cha habari hapo juu, siku ya tar 29/12/2013 kutakuwa na harambee kwenye kanisa moja la K.K.K.T, Mchungaji pamoja na wazee wa kanisa wamefika kwangu kuniomba niwe mgeni rasm kwa...
imenibidi nichague hichokichwa cha habari maana kila post unayosoma hata kama nyingine haina mahusihano na picha lkn mtu anakwsmbia weka picha, picha tafadhali, mara picha jamani,.. kiukweli...
Jamaa amezaa na mwanamke mtoto ana umri wa zaidi ya mwaka. Mwanamke alitaka amuoe lakini jamaa kampiga chini kaenda kuoa mwingine. Jamaa huwa anakutana na nyumba ndogo na kumpa matumizi ya mtoto...
Habari zenu!
Nipo nimepumzika enjoying the long weekend huku nikiperuz jf specifically MMU ambapo nakutana thread ya uran interviewing Nambe and Shansarie ambapo Nambe one of the interviewee...