weka picha

weka picha

sir mushi

Senior Member
Joined
May 26, 2013
Posts
143
Reaction score
52
imenibidi nichague hichokichwa cha habari maana kila post unayosoma hata kama nyingine haina mahusihano na picha lkn mtu anakwsmbia weka picha, picha tafadhali, mara picha jamani,.. kiukweli wakati mwingine achekesha na wakati mwingine inaboa.. na chaajabu kunawengine watatupia kwenye posti hii" WEKA PICHA". haha
 
zemeze5e.jpg
 
wewe ngoja kidogo tu watakuja wataalam wa "picha bhanaa", husiende mbali kabisa
 
Kuna watu wanakuja humu kuvuluga utaratibu, yupo mwingine nae kamuiga @FIGGANIGA kuandika mwisho - mia, hii ndio mijitu inayoboa
 
imenibidi nichague hichokichwa cha habari maana kila post unayosoma hata kama nyingine haina mahusihano na picha lkn mtu anakwsmbia weka picha, picha tafadhali, mara picha jamani,.. kiukweli wakati mwingine achekesha na wakati mwingine inaboa.. na chaajabu kunawengine watatupia kwenye posti hii" WEKA PICHA". haha


Weka picha na source ya habari yako
 
weka mifano ya post zinazodai hivyo vyote ulivyodai
 
Back
Top Bottom