Somo la kucheat

Somo la kucheat

kubwalamaadui

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
328
Reaction score
51
1.zidisha upendo kwa mumeo ili asikugundue
2.heshima izidi maradufu kwa mumeo
3.kutaneni sehemu za mbaliiiiii na nyumbani.
,4.tafuta kidumu 40 and above
5..awe ameoa pia ili msianze kugandana na kuharibiana.
6.ikiwezekana tafuta kisafari uongo na kweli mkaenjoy.

ANGALIZO
1.special for married women only
2.kupima kwanza.
3.penetration sex is not necessary.

KAMATA FULSA TWE NZETU.
SIO KUJILIZA KILA SIKU UNAPATA MIPRESSURE MWISHOWE UJE UFE NA KUACHA WANAO NA MAMA WA KAMBO.
ACHA KUSUMBUA WAZAZI NA KUWAPA PRESSIRE NA MIKESI YA USULUHSHI YASIYOISHA.
Hii ndio only dawa ya BROKEN HEART.

KAMA INAKUKERA PITA KIMYA.
 
mmh naona moyo uliochoshwa na mateso na maumivu ya ndoa pole dada.

ila io sio suluhu, rudi kwa mungu piga goti atabadirika.
 
Empty minds !!
Hivi dadaangu umapata wapi ujasiri wa kuanzisha uzi kama huu ?
Dogo alietoka Fb kuja chungulia huku anajifunza nini ?Tufyakwa !!
 
Kubwa la maadui?‎؟Lara1 ama...
Kw kweli i know th pains of a broken heart japo sipo kwny ndoa,jipunguzie stress mwenyew whenever u can....
 
mmh naona moyo uliochoshwa na mateso na maumivu ya ndoa pole dada.

ila io sio suluhu, rudi kwa mungu piga goti atabadirika.

kusali mtu unasali my dear,lakini sm pains ar way too much to handle,
 
1.zidisha upendo kwa mumeo ili asikugundue
2.heshima izidi maradufu kwa mumeo
3.kutaneni sehemu za mbaliiiiii na nyumbani.
,4.tafuta kidumu 40 and above
5..awe ameoa pia ili msianze kugandana na kuharibiana.
6.ikiwezekana tafuta kisafari uongo na kweli mkaenjoy.

ANGALIZO
1.special for married women only
2.kupima kwanza.
3.penetration sex is not necessary.

KAMATA FULSA TWE NZETU.
SIO KUJILIZA KILA SIKU UNAPATA MIPRESSURE MWISHOWE UJE UFE NA KUACHA WANAO NA MAMA WA KAMBO.
ACHA KUSUMBUA WAZAZI NA KUWAPA PRESSIRE NA MIKESI YA USULUHSHI YASIYOISHA.
Hii ndio only dawa ya BROKEN HEART.

KAMA INAKUKERA PITA KIMYA.

Njoo kwangu tuendeleze gemu wee kubwalamaadui
 
a sure proof way of cheating is never to have an affair but to have a one nyt stand
 
...huwa nasiki kuwa kuna binadam ni wakala wa shetani...
 
Siwezi kuharibu utu wangu eti kisa nalipiza kucheat...
Afanye yake tuu akichoka ataacha akishindwa aendelee tu...
 
Teh teh teh...
Haya 40+ come this way.....
 
Back
Top Bottom