Kuzini ni kuwa kwenye mahusiano yasiyo Rasmi

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,574
2,000
Wakubwa wengi wamekuwa wakiona ninavyopinga kuharalisha kuzini kama tendo la ndoa.Kuzini ni kufanya uingiliano kati ya mwanamume na mwanamke asiye mke au mume wako.
Kwa maana nyingine ni kufanya maingiliano ya kindoa kati ya mwanamke na mwanamume pasipo baraka au uhalarisho wa jamii inayokuzunguka.

Muingiliano wowote kati ya mwanamke na mwanamke katika mahusiano ya boyfriend au girlfriend au nyumba ndogo au buzz au ATM au baba mtoto wako au mama mtoto wako asiye na baraka au ubarikio wa jamii inayokuzunguka basi ni uzinifu tu period

Wakubwa ni mtazamo tu
 
Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,574
2,000
umekorogwa wewe si bure.............

Mbona unakimbilia kuonge kuwa nimekorogwa hakika sijakorogwa ila nsikitika na nyie watoto wa kike mnavyohalarisha uzinzi mbele ya familia zenu..

Juzi tu kuna kaka kaja kuomba ushauri kuwa dada yake wa miaka 17 ambaye amemaliza formu IV amechora tatoo kwenye mapaja yake..Swali aliyapata wapi hayo maushauri..nani alimwambia urembo wa tatoo nikuchora kwenye mapaja?mpaka anamfunulia huyo aliyemchora alikuwa anafikiria nini..Ni uzinzi tu tufike sehemu ktukubali kukosolewa nikikosea hakika nitakosolewa tu na wala sitaacha lakini kukimbilia kuomba comunity sympathy kwa uzinzi sishabikii

[h=5]A True friend is one who doesn't make you happy with a lie but one who hurts you with the truth[/h]
 
charty

JF-Expert Member
Oct 28, 2013
7,413
2,000
Wakubwa wengi wamekuwa wakiona ninavyopinga kuharalisha kuzini kama tendo la ndoa.Kuzini ni kufanya uingiliano kati ya mwanamume na mwanamke asiye mke au mume wako.
Kwa maana nyingine ni kufanya maingiliano ya kindoa kati ya mwanamke na mwanamume pasipo baraka au uhalarisho wa jamii inayokuzunguka.

Muingiliano wowote kati ya mwanamke na mwanamke katika mahusiano ya boyfriend au girlfriend au nyumba ndogo au buzz au ATM au baba mtoto wako au mama mtoto wako asiye na baraka au ubarikio wa jamii inayokuzunguka basi ni uzinifu tu period

Wakubwa ni mtazamo tu

Naomba unipe tofauti ya kuzin,uzinzi,tendo la ndoa na uasheratii nkijua hzo tofauti zake ntafurahi sanaA!
 
miss chagga

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
57,848
2,000
Mbona unakimbilia kuonge kuwa nimekorogwa hakika sijakorogwa ila nsikitika na nyie watoto wa kike mnavyohalarisha uzinzi mbele ya familia zenu..

Juzi tu kuna kaka kaja kuomba ushauri kuwa dada yake wa miaka 17 ambaye amemaliza formu IV amechora tatoo kwenye mapaja yake..Swali aliyapata wapi hayo maushauri..nani alimwambia urembo wa tatoo nikuchora kwenye mapaja?mpaka anamfunulia huyo aliyemchora alikuwa anafikiria nini..Ni uzinzi tu tufike sehemu ktukubali kukosolewa nikikosea hakika nitakosolewa tu na wala sitaacha lakini kukimbilia kuomba comunity sympathy kwa uzinzi sishabikii

A True friend is one who doesn't make you happy with a lie but one who hurts you with the truth
okey ukamshaurije huyo binti sasa? na je wewe umeona mapaja ya huyo binti?
 
Mapi

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
6,852
1,250
neno "kuharalisha" nini? Na huo "muingiliano wa mwanamke na mwanaume" ni ule wa kuingia kwenye shamba la mtu bila ruhusa? Muingiliano wa mikono au Miguu? Mwingiliano wa biashara Au ni upi? Na huo mwingne wa mwanamke na mwanamke ni upi? Usagaji ama?
 
Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,604
2,000
okey ukamshaurije huyo binti sasa? na je wewe umeona mapaja ya huyo binti?

Jf ina mambo ukiona kichwa cha swali waweza kudhani ndo miguu ya swali alafu unajiuliza hili nalo tuite swali ama mkorogo? ..

Acha watoe lakini usije kumwambia hata siku moja twende angaza weee! Achana na CD4 wewe zikianza kushuka na kupanda... they blame no one.
 
byb sac

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
910
500
je kufanya tendo la ndoa na mpenzi wako au mume/mke bila ridhaa yake ni nin?????
 
miss chagga

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
57,848
2,000
Jf ina mambo ukiona kichwa cha swali waweza kudhani ndo miguu ya swali alafu unajiuliza hili nalo tuite swali ama mkorogo? ..

Acha watoe lakini usije kumwambia hata siku moja twende angaza weee! Achana na CD4 wewe zikianza kushuka na kupanda... they blame no one.

CD4 nyama la kwale inayo nyingi ukitaka kupandisha wale ndege wanazo sema tu kuweza kumudu bei ya hiyo nyama
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom