Wavulana mna matatizo gani??

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,267
2,000
Kwa hisani ya snowhite.......!!!!!!!!!!!!!!
snowhite alimuomba Babu Dark City afungue uzi kuhusiana na vivulana kuzidiwa na vibinti ujanja hadi kushindwa kuvishawishi kuvivua kyupi hadi kufikia kuja hapa JF na kulalamika eti dunia imevitenda

Hii ni aibu kubwa sana kwa jinsia ya kiume

Kwa niaba ya Babu DC[ Dark City ] nimeamua kufungua uzi huo ili maombi ya snowhite yatimizwe

Kitu gani kimetokea hadi mapinduzi haya ya kijinga kutokea kwa hivi vivulana vya sasa kuzidiwa kabisa na vibint vya siku hizi?

Soma huu uzi hapa kwa msaada zaidi:https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/565670-this-life-is-unfair-why-always-me.html

Haya ni majanga kabisa na ni laana kwa hili kutokea
Nakumbuka enzi hizo hakuna kabinti kalikokuwa kanaweza kuhimili vishindo vyetu,nahisi hii ndio sababu hata vibinti hivyo kuamua kujiridhisha vyenyewe kwa vyenyewe[usagaji] hii nayo ni laana nyingine

Siku mhizi kuna malalamiko mengi sana kuwa vijana hawawaridhishi wanawake,nyakati za nyuma haya hayakuwepo sijui ni shetani gani imeikumba hii jinsia adhimu ya kiume hadi kufikia wanawake kulalamika kiasi

Ki ukweli niliposoma haya malalamiko ya snowhite nimejisikia vibaya sana

ahahhahahha af wewe
ujue bado nna hasira na wewe!!poa tu!
af hii habari ya watoto wa kiume siku hiz kuadopt tabia za mama zao inatoka wapi!
zamani mtoto wa kiume alikuwa ANATAKA KUWA KAMA BABA!
UKIMWAMBIA MWANANGU UMEKUWA MREFU SIKU HIZI ,ye anaitikia KAMA BABA ENH!?
mwanangu kula haraka haraja ,ye ANAITIKIA KAMA BABA ENH?
Asprin, Dark City Kaizer Mtambuzi SnowBall HorsePower na wengine mna kesi ya kujibu!
HIVI SIKU HIZI BADO MNAENDELEA KWA MAROLE MODEL KWA WATOTO WENU WA KIUME JAMANI?
this is scary asee
natishika maana nahofia binti zangu wasije pata waume wanaolia lia mtoto kaumwa mafua ye anapiga simu kwa mamake !mxiiiiiiiiiiiiiiu!
yani hakyamam babu niko vere serious na hili
KUNA MAHALI WAZAZI SIJUI KAMA NI WAKIKE AU WA KIUME TUMEACHA KULEA HAWA WATOTO KWA MUJIBU WA GENDER ROLES ZAO!
mimi ni vile tu sina mtoto wa kiume lakini ningehakikisha anakuwa kigumu gumu tuuuu
ndivyo nilivyoona babangu akiwahandle kaka zangu!
wakati mimi na dada zangu tukipewa adhabu za kufinywa mapajani kaka zangu walikuwa wanapewa adhabu za kubeba matofali nyuma ya nyumba na kuhakikisha kisiki cha uani kimetoka la sivyo hakuliki!
ilibaki hivyo na sijawahi kuona wake zao au magirlfriends zao wakileta wehu wehu wa kijinga jinga
KWANINI HAIPO HII!
ndio utandawazi?
ndio tunawapenda watoto?
ndio haki sawa?
ndio umagharibi?
:noidea:
argh tafadhali kwa mamlaka uliyonayo naomba anzisha sredi juu ya hili!
uliye chuo
kijana wa kiume
uliye zaliwa miaka 20 iliyopita
ukiwa na aina hii ya maongezi
aina hii ya kulalamika lalamika
aina hiii ya kuhisi dunia haikutendei haki
aina hii ya kuona kuwa ukikutana tu na msichana wiki mbili zilizopita basi unasema nataka kukuoa
aina hii ya kuona dunia zaid ya kukupa hewa na mahali pa kuishi haina uwezo wa kukuamulia maisha yako yalivyo
hebu hangaika kuvunja ubikira wa akili yako kwanza halafu ndo ukavunje ubikira wa mwili wako sawa enh!

Mungu atusamehe na hii dhambi ya kijinga kabisa kwenye hii jinsia yetu

Hivi vivulana vya leo ni vijana wa kesho ni wanaume wa keshokutwa.hili ni janga

Kuna aina ya muziki ilikuwa sio ya vijana enzi hizo na ilikuwa inapendwa na wanawake lakini siku hizi imebadilika kuwa ni miziki ya hivi vivulana vya sasa,balaa gani hili

Nyakati hizo vijana na wanaume walikuwa wanalelewa kiume hasa na ukionekana una vi tabia vya kike kike kama hivyo basi unaipata

Ndio maana hata mashoga wanaongezeka siku hizi

Au malezi ndio tatizo???????????
Aaaaaaaaarrrrrrrgggggggggrrrrrhhhhhhhhhhh !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
36,024
1,500
Evolution ya tamaduni za kifarika kwenda kimagharibi ni sababu ya kwanza. Sasa hivi mvulana anasubiri consent ya msichana ya kumvua kyupi wakati zamani ikishindikana kuvuliwa kidiplomasiaa zinatumika militant ways(chagulaga and the like)

Exposure ya mambinti kwenye mambo ya mahusiano. Sasa hivi binti ana uwezo wa kuamua kama anataka sex ama lah. Ana uwezo wa ku-urgue na mwanamme mchana kweupe. Zamani zile binti alikuzwa akidhania yeye ni chombo cha starehe cha mwanamme na kumnyima K haikuwa sawa.

Uwezo wa kujitegemea kichumi, nao umewaongezea mambinti nguvu ya kuamua mambo ya mahusiano.

Nguvu hizo zote kwa mwanamke zinakuwa hasara kwa mwanamme. Ukizingatia kuwa hakuna jando tena, mafunzo ya kimahusiano zimeachiwa tamthilia za south America, ambazo siku zote stering huwa anasotea mzigo kwa miaka kadhaa na siku akiupata tamthilia inaisha, hii inawafanya vijana kuamini kusotea ndio habari ya mjini.

Anyway, mie kijana wangu nitampiga sana akisotea, namwona kaanza dalili za Bushoke.
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
41,214

So sad toto langu nalo linakaa na Mama yake, yani hii inaniumiza akili kweli.

Siwezi kuwa proud kuwa na mtoto wa kiume halafu falafala tu, tangu amezaliwa hata adha ya kutembea kwa mguu kwenda shule haijui wala daladala kwake msamiati.

Nakumbuka tuliosoma private secondary school kipindi chetu jembe na panga zilikuwa ni requirements muhimu sana wakati ukireport form one.

Kipindi cha Agriculture darasani ilikuwa ni dakika 40 tu the rest of day ni kukomaza msuli kwenye shamba la shule. Kweli Mwalimu JK original aliandaa umma.
 
Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
18,933
2,000
serengeti boys wenzangu wana papara mno!!

we leo tu, kesho wataka entrance key!

ah, subiri subiri hata siku mbili bana!
 
Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,267
2,000
Evolution ya tamaduni za kifarika kwenda kimagharibi ni sababu ya kwanza. Sasa hivi mvulana anasubiri consent ya msichana ya kumvua kyupi wakati zamani ikishindikana kuvuliwa kidiplomasiaa zinatumika militant ways(chagulaga and the like)

Exposure ya mambinti kwenye mambo ya mahusiano. Sasa hivi binti ana uwezo wa kuamua kama anataka sex ama lah. Ana uwezo wa ku-urgue na mwanamme mchana kweupe. Zamani zile binti alikuzwa akidhania yeye ni chombo cha starehe cha mwanamme na kumnyima K haikuwa sawa.

Uwezo wa kujitegemea kichumi, nao umewaongezea mambinti nguvu ya kuamua mambo ya mahusiano.

Nguvu hizo zote kwa mwanamke zinakuwa hasara kwa mwanamme. Ukizingatia kuwa hakuna jando tena, mafunzo ya kimahusiano zimeachiwa tamthilia za south America, ambazo siku zote stering huwa anasotea mzigo kwa miaka kadhaa na siku akiupata tamthilia inaisha, hii inawafanya vijana kuamini kusotea ndio habari ya mjini.

Anyway, mie kijana wangu nitampiga sana akisotea, namwona kaanza dalili za Bushoke.

Wewe unadhani ni kosa kwa wanawake kupewa zinazodaiwa kuwa ni haki?
 
Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,267
2,000
So sad toto langu nalo linakaa na Mama yake, yani hii inaniumiza akili kweli.

Siwezi kuwa proud kuwa na mtoto wa kiume halafu falafala tu, tangu amezaliwa hata adha ya kutembea kwa mguu kwenda shule haijui wala daladala kwake msamiati.

Nakumbuka tuliosoma private secondary school kipindi chetu jembe na panga zilikuwa ni requirements muhimu sana wakati ukireport form one.

Kipindi cha Agriculture darasani ilikuwa ni dakika 40 tu the rest of day ni kukomaza msuli kwenye shamba la shule. Kweli Mwalimu JK original aliandaa umma.

Mkuu huyo jitahidi sana abadilike bila hivyo utakuja kulia zaidi baadae

Ssis tulikuwa tunatembea zaidi ya kilomita 8 kwenda shule na tukifika ni mkikimikiki ya kutosha bado ukirudi nyumbani na kukutana na mdingi ni balaa tu

Adhabu zilikuwa ni kuchimba visiki na kulima shamba pamoja na kukusanya magogo
Siku hizi vivulana haviwezi haya kuunyanyua mguu wa binti kitandani,hili si balaa?
 
TCleverly

JF-Expert Member
Feb 26, 2013
1,923
0

dunia imebadilika kaka.....sasa mtu anakaa upanga anasoma tambaza/azania km nane atatembea vipi??malezi ndio muhimu sio kutembea km 8 wala kuchimba visiki....kuna watu wamekulia ushuani lakini ni wanaume ngangari tu....malezi ndio muhimu
 
Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,267
2,000
neocolonialism is part and parcel of this problem...
-----
-----
ndio maana mabinti wanadate aged men coz hivyo vivulana havina behavior za kiumeni..
-----
-----

Tufanyeje yaishe haya mambo ya kibazazi?
 
John Luziga

Member
Dec 8, 2013
13
0
Hatukatai binti kupewa haki ya kutoa maamuli,lakim binafsi hawez kuniletea mambo ya masenge nitakapo kula mzigo,hata km ndio mara yke ya kwnz kukutana na mimi. Kwa ufupi tamthiliya zinawaharibu vivulana,hasa hv vnavyodhani kujiliza kw videmu ndio kula mzigo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom