Msaada Tafadhali:Hivi huwa ni Kuoa;Kuolewa au Kuoana??


Ozzie

Ozzie

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2007
Messages
3,233
Likes
51
Points
145
Ozzie

Ozzie

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2007
3,233 51 145
Jaber Job
Mtazamo wangu ni huu:

KUOA:
1. Kunafanywa na mwanaume AU
2. Kunafanywa na mwanamke au mwanaume mwenye pesa ya kufanikisha tukio la ndoa AU
3. Kunafanywa na aliyetoa proposal na kufanikisha ndoa.

KUOLEWA:
1. Kunafanywa kwa mwanamke AU
2. Anafanyiwa mwanaume au mwanamke asiye na pesa ya kufanikisha tukio la ndoa Au
3. Anafanyiwa yule aliyepewa proposal ya ndoa na kufanikishiwa tendo hilo

KUOANA
1. Kuleta usawa kwa aliyeoa na aliyeolewa
2. Ni desturi ya kizungu
 
Last edited by a moderator:
Jaber Job

Jaber Job

Senior Member
Joined
Oct 2, 2013
Messages
122
Likes
6
Points
0
Jaber Job

Jaber Job

Senior Member
Joined Oct 2, 2013
122 6 0
Ozzie wewe ni Mwalimu?
 
M

Mzee Uchwara

Senior Member
Joined
Oct 28, 2013
Messages
119
Likes
0
Points
0
M

Mzee Uchwara

Senior Member
Joined Oct 28, 2013
119 0 0
kiafrika wanaume wanaoa,wanawake wanaolewa

kizungu..'wanaoana'.
sasa kama wazungu wanaoana,je ni nani anae mchumbia na kumtolea mahali na pia ni nani aneruhusiwa kutoa taraka? Hapo ndio utajua maana ya kuoa na kuolewa.
 
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Messages
37,824
Likes
23,232
Points
280
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2009
37,824 23,232 280
sasa kama wazungu wanaoana,je ni nani anae mchumbia na kumtolea mahali na pia ni nani aneruhusiwa kutoa taraka? Hapo ndio utajua maana ya kuoa na kuolewa.
wazungu hakuna mahari
na yeyote yule anachumbia
 
Mtumiabusara

Mtumiabusara

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2009
Messages
473
Likes
3
Points
33
Mtumiabusara

Mtumiabusara

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2009
473 3 33
Bila kujali wewe ni mwanaume au mwanamke tunaweza kutafsiri hivi. 1. Ukilipa mahali fahamu kuwa unaoa. 2. Ukilipiwa mahali fahamu kuwa unaolewa. 3. Msipolipiana mahali, au ukasamehewa kulipa mahali yote, fahamu kuwa mmeoana, yani haki sawa
 
utafiti

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Messages
12,816
Likes
115
Points
0
utafiti

utafiti

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2013
12,816 115 0
Kwani swali ni "umeoana?"
Au ni 'umeoa/umeolewa?'
 
M

mjasiria

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Messages
4,176
Likes
519
Points
280
M

mjasiria

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2011
4,176 519 280
Inategemea na jamii au wanandoa kuna wengine wanaoa, wengine wanaolewa na wengine wanaoana.
 
Mentor

Mentor

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Messages
20,054
Likes
11,127
Points
280
Mentor

Mentor

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2008
20,054 11,127 280
Hata wazungu wanaoa na kuolewa. Ni vile tu wamekosa maneno ya kutosha kulielezea hilo. Plus baada ya ndoa mnajaribu ku strike the balance hivyo wanasema..wameoana.
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
107,185
Likes
131,626
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
107,185 131,626 280
Chagua iliyo sahihi ndio uitumie ..!hizo zote ni slogan tu, shughuli ni moja tu, kulalana bac!!!!!!
 

Forum statistics

Threads 1,272,324
Members 489,924
Posts 30,447,483