Ati ukiwa mjanja, kuchapiwa ni siri ya ndani!!!! Si ujanja ni ushoga

Njaare

JF-Expert Member
Sep 26, 2010
1,081
1,500
Wanajamvi,

Kuna kawimbo huwa nakasikia siku hizi ati "ukiwa mjanja, kuchapiwa ni siri ya ndani". Huwa siamini masikio yangu na siamini kama huwa nasikia haya maneno sawasawa. Sijaelewa maana yake ila kwa maana ya kuchapiwa ninayoijua kwa kiswahili cha mtaani, mh!

Mwanaume anayeona na kuamini kuwa kuchapiwa ni ujanja, basi lazima ana matatizo hasa ya nguvu za kiume. Unajua kuwa dume kama wewe linakusaidia unaona ni ujanja!!!! Ukifikia hapo ujue hata kuchapwa wewe mwenyewe utaona kuwa ni ujanja.
 

Mzee Uchwara

Senior Member
Oct 28, 2013
119
0
Mwanamke au mwanaume kutoka nje ya mahusiano ni tamaa tu. Wapo wanaume wamekamilika lakini wanachapiwa. Ukitaka kujua kama mwanamke anakupenda na ilikuwa ni tamaa ni kile kipinda amesaliti alafu unampige chini angalia anavyochanganyikiwa. Waswahili walisema kunguru hafugiki, hata umpe nini haridhika. Ndio wanawake wa sasa hivi ukiwafuatila sana hutashindwa kufanya mambo yako.
 

maliyamungu

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
566
500
hakuna mwanamke asiyechapwa nje ya ndoa labda mama zetu tena wanamsemo wao sku hizi "mtoto mmoja ndani ya ndoa mmoja nje ya ndoa kumix dam..." ukitaka uoshi maisha marefu muache tu.
 

Munkari

JF-Expert Member
Feb 9, 2013
8,087
2,000
hakuna mwanamke asiyechapwa nje ya ndoa labda mama zetu tena wanamsemo wao sku hizi "mtoto mmoja ndani ya ndoa mmoja nje ya ndoa kumix dam..." ukitaka uoshi maisha marefu muache tu.

mh! Wewe una uhakika na unachokiongea? Ama keybodi ni mali yako
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom