Ndoa ni lazima kupata watoto? Najiuliza sana.

sarikoki

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
1,195
0
Najiuliza sana.......maana ya ndoa ni kupata watoto?,kuna tatizo kubwa sana sasa ivi hapa kwetu , wanandoa wengi huwa wanachanganyikiwa sana wakichelewa kupata watoto.....imepelekea mpaka baadhi ya kina dada wanatokanje ya ndoa kubeba mimba na mwanaume mwingine kwa siri ili?....... ,eti kuokoa ndoa. ...Ni kweli ndoa inapendeza zaidi mkijaliwa watoto na hata mimi ningechanganyikiwa zaidi kama nisingepata watoto kwenye ndoa........ni swali najiuliza sana kwa nini tunachanganyikiwa sana kama tunachelewa au hatupati watoto baada ya kufunga ndoa. Na pia swali lingine gumu sana najiuliza je, kama ndoa ingekua ni watoto, kungekua na ulazima wa kuoa kweli? si tungezaliana tu kama mbuzi na ngo'mbe?....Najiuliza sana.
 
Nov 7, 2013
20
0
Watoto ni majaliwa na Mungu ndie anayetoa. Kama hupati mtoto na unajua kabisa hujawai kutoa mimba upashwi kuwa na mashaka sana na maangaiko yakutoka nje ya ndoa maana unaweza kuja kupata mtoto ndani ya ndoa baadae. Na kwawanaume muwe tayari pia kuwa bennet na wake zenu kwaajili ya matibabu maana tatizo linaweza kuwa la yeyote.Mnaweza pia kuadopt(kuasili)mtoto jamani tunapashwa kuenda na wakati.Nawasilisha.
 
Himidini

JF-Expert Member
May 8, 2013
5,540
1,225
^^
Ni rahisi kutamka kuwa si lazima,
Si rahisi kuhimili kiu ya hitaji la mtoto katika ndoa.
^^
 
jamiif

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
2,414
1,195
mi naona kwanza ni MAELEWANO, ndoa ikiwa na maelewano hakika kutakuwa na UPENDO na MAPENZI YA DHATI. Suala la watoto ni majaaliwa ya Allah kwani haliko ktk uwezo wetu wa kibinaadam.Kuna wanandoa wameajaaliwa watoto lakini wakakosa maelewano na kuachana, vivyo hivyo wengine hawajaaliwa watoto lkn kwa kuwa maelewano yapo, wakadumu na ndoa yao. Kwa hiyo mimi naamini ndoa ni MAELEWANO na wala ndoa SIO WATOTO kwa kuwa hayo ni majaaliwa ya Allah.
 
Justin Dimee

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
1,146
1,225
Sasa mkaaeeh kwenyee ndooa miaakaa 20 yotee iyo bilaa mtoto maanaakee nini nyumbaa magarii kila kituu mnachoo mtoto haamnaa duuh nyumbaaa iyoo itakuaa hainaa raahaa napiaa mtaakuaa kuwaa nahasiraa kwanini hamnaa watotoo nishidaah sanaa tumuuombee munguu atuuepushiee iloo janagaa
 
dolevaby

JF-Expert Member
Aug 25, 2013
11,526
2,000
Mkuu sarikoki uko kwenye NDOA? if YES ni muda gani nw! una watt? n WHY umeuliza swali hili,,!!
 
Tized

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
4,023
2,000
Kimaandiko, mtoto ni moja ya tunda la ndoa ambalo pia sio lazima lizaliwe maana kuna waliandikiwa kutokuwa nalo. Kibinadamu mtoto ni lazima. kwa hiyo inategemea unaongea kutokea angle ipi.

Najiuliza sana.......maana ya ndoa ni kupata watoto?,kuna tatizo kubwa sana sasa ivi hapa kwetu , wanandoa wengi huwa wanachanganyikiwa sana wakichelewa kupata watoto.....imepelekea mpaka baadhi ya kina dada wanatokanje ya ndoa kubeba mimba na mwanaume mwingine kwa siri ili?....... ,eti kuokoa ndoa. ...Ni kweli ndoa inapendeza zaidi mkijaliwa watoto na hata mimi ningechanganyikiwa zaidi kama nisingepata watoto kwenye ndoa........ni swali najiuliza sana kwa nini tunachanganyikiwa sana kama tunachelewa au hatupati watoto baada ya kufunga ndoa. Na pia swali lingine gumu sana najiuliza je, kama ndoa ingekua ni watoto, kungekua na ulazima wa kuoa kweli? si tungezaliana tu kama mbuzi na ngo'mbe?....Najiuliza sana.
 
Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,464

Sasa ndoa bila watoto si wendawazimu....najiuliza Pia ..yaani unataka ndoa ya outing na kwenda clubs usiku that is not ndoa...najiuliza pia
 
Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,316
2,000
kama ndoa ni watoto basi ujue baada ya kupatikana hao watoto ndoa hakuna tena.
 
Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,464
2,000
mi naona kwanza ni maelewano, ndoa ikiwa na maelewano hakika kutakuwa na upendo na mapenzi ya dhati. Suala la watoto ni majaaliwa ya allah kwani haliko ktk uwezo wetu wa kibinaadam.kuna wanandoa wameajaaliwa watoto lakini wakakosa maelewano na kuachana, vivyo hivyo wengine hawajaaliwa watoto lkn kwa kuwa maelewano yapo, wakadumu na ndoa yao. Kwa hiyo mimi naamini ndoa ni maelewano na wala ndoa sio watoto kwa kuwa hayo ni majaaliwa ya allah.

acheni siasa na utandawazi lengo la ndoa zote duniani moja ni kuwa na familia ..definition ya familia ni baba,mama,na watoto..hakuna familia ya mama na baba ..hivyo hakuna ndoa yenye maelewano bila watoto.mlivyozaliwa vivyohivyo mwahitaji kuacha watoto duniani kama wazazi wenu walivyowaweka duniani mpaka mkakutana..ndoa bila mtoto ni dalili ya danguro hata mkiwa na kila kitu hakika bila mtoto hamtakuwa na amani wala nini..fuatilieni na furaha ya ndoa pande zote mbili ni matunda ambayo ni watoto.
 
Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,464
2,000
kama ndoa ni watoto basi ujue baada ya kupatikana hao watoto ndoa hakuna tena.

mti wowote bila kuzaa matunda siyo mti..mtoto ndani ya ndoa nikiunganishi cha maagano..acheni kushabikia uongo kuna anayeoa kwa ajili ya kuangalia angel face...najiuliza tu na ndo maana siku hizi hawaingi kwenye ndoa bila kuzini kwanza na kubebeshana mimba....ebo
 
byb sac

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
909
500
lengo la ndoa ni kujenga familia bola ambayo ina wahusisha baba .mama na mtoto au watoto..na kila mtu anafurahi kuitwa mzazi hasa akiwa ndani ya ndoa yenye balaka za wazazi ndugu na jamaa.
 
byb sac

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
909
500
wanawake wengi wakiolewa bila kuzaa wanaambiwa wanajaza choo.ndo maana kukosa mtoto kunawakosesha amani...
 
TsafuRD

JF-Expert Member
Sep 29, 2013
1,907
2,000
Najiuliza sana.......maana ya ndoa ni kupata watoto?,kuna tatizo kubwa sana sasa ivi hapa kwetu , wanandoa wengi huwa wanachanganyikiwa sana wakichelewa kupata watoto.....imepelekea mpaka baadhi ya kina dada wanatokanje ya ndoa kubeba mimba na mwanaume mwingine kwa siri ili?....... ,eti kuokoa ndoa. ...Ni kweli ndoa inapendeza zaidi mkijaliwa watoto na hata mimi ningechanganyikiwa zaidi kama nisingepata watoto kwenye ndoa........ni swali najiuliza sana kwa nini tunachanganyikiwa sana kama tunachelewa au hatupati watoto baada ya kufunga ndoa. Na pia swali lingine gumu sana najiuliza je, kama ndoa ingekua ni watoto, kungekua na ulazima wa kuoa kweli? si tungezaliana tu kama mbuzi na ngo'mbe?....Najiuliza sana.
Ndoa ni mpango wa Mungu tangu mwanzo, na kuzaa na kuongezeka pia ni agizo la Mungu lakini mtoto ni zawadi ya Mungu katika ndoa. Kutoka na kutafuta mtoto nje ya ndoa ni kosa, si tu kisheria bali pia ni uvunjaji wa Amri za Mungu. Imeandikwa usizini.
 
Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,316
2,000
mti wowote bila kuzaa matunda siyo mti..mtoto ndani ya ndoa nikiunganishi cha maagano..acheni kushabikia uongo kuna anayeoa kwa ajili ya kuangalia angel face...najiuliza tu na ndo maana siku hizi hawaingi kwenye ndoa bila kuzini kwanza na kubebeshana mimba....ebo
mbona kuna mambo mengi tu muhimu katika ndoa....? Akili Unazo! unajisikiaje kama utaachwa na mume/mke kwa sababu huzai.. think twice meen !!!
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom