Hii maana yake nini?

chapaa

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
2,352
202
Jamaa kamuaga my wife wake anasafiri kibiashara(mnunuzi wa mazao) na angerudi baada yasiku 3,huku nyuma wapambe wakampasha mkewe kwamba jamaa kaone kana gesti na kimanzi wakijivinjari mke kusikia hivyo akapanic pasipo kufanya uchunguzi yakinifu akaamua kuwatelekeza wanae 2 na kusema kwamba "dawa ya moto ni moto,jino kwa jino"nakujichanganya mitaa nae akisaka wa kumfanya alipize kisasi yaani akaisaliti ndoa yake!!.Jamaa alivyokuwa kwenye biashara zake akakutana na shemejie(kaka wa mkewe)wakaamua waongozane wote ili akamsalimie dada yake kufika wakakuta mwanamke kajaa kifua kwa hasira na kuwadaka juu juu bila salamu na kuanza kumshitaki mmewe kwa kaka ake wote wakabaki midomo wazi.Alikuwa na maana gani kuisaliti ndoa yake kwa jambo lisilo na udhibitisho?.
 
Mutu

JF-Expert Member
Mar 30, 2008
1,330
46
Huyu alikuwa mtu wa namna hiyo tu mwanamke kwenda kutoa mambo mara moja kiasi hicho huyo ni chetu kwelikweli aka changu.Maana two wrong do not make right.
Pili ni mkurupukaji pia
 
Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,747
7,756

...hasira hasara, 'tabia' mbaya tu hiyo.
 
chapaa

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
2,352
202
Kwahali hiyo mtu wa namna hii je nitalaka au kusameheana?
 
DAR si LAMU

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
2,929
531
Jamaa kamuaga my wife wake anasafiri kibiashara(mnunuzi wa mazao) na angerudi baada yasiku 3,huku nyuma wapambe wakampasha mkewe kwamba jamaa kaone kana gesti na kimanzi wakijivinjari mke kusikia hivyo akapanic pasipo kufanya uchunguzi yakinifu akaamua kuwatelekeza wanae 2 na kusema kwamba "dawa ya moto ni moto,jino kwa jino"nakujichanganya mitaa nae akisaka wa kumfanya alipize kisasi yaani akaisaliti ndoa yake!!.Jamaa alivyokuwa kwenye biashara zake akakutana na shemejie(kaka wa mkewe)wakaamua waongozane wote ili akamsalimie dada yake kufika wakakuta mwanamke kajaa kifua kwa hasira na kuwadaka juu juu bila salamu na kuanza kumshitaki mmewe kwa kaka ake wote wakabaki midomo wazi.Alikuwa na maana gani kuisaliti ndoa yake kwa jambo lisilo na udhibitisho?.

..huyu kakosa adabu tu. anahitaji kuwekwa chini na kufundwa!

..yawezekana hakuchezwa vizuri.
 
chapaa

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
2,352
202
Ebwana 'mchongoma'sio mie yalie nikuta hivyo vijisababu unavijua wewe na inawezekana labda ndo zako mzee wa visa,'mtu wa pwani' hiyo thread ni live ime tokea sio kwangu lakini,unajua nilijiuliza maswali mengi sana hili nalo likiwemo je?elimu nayo ina changia?
 
chapaa

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
2,352
202
Sasa hiyo ni hadithi ya kubuni au ni kisa kilichotokea
Mkuu Ipole hiyo ime tokea laivu chakuji uliza ni kwamba je itakuwa kila anapohisi una msaliti naye afanye hivyo si tabia nzuri ndo maana nikauliza inawezekana labda kutokuwa na elimu au nimsingi mbovu wa malezi toka utotoni?
 
Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,747
7,756
Mkuu Ipole hiyo ime tokea laivu chakuji uliza ni kwamba je itakuwa kila anapohisi una msaliti naye afanye hivyo si tabia nzuri ndo maana nikauliza inawezekana labda kutokuwa na elimu au nimsingi mbovu wa malezi toka utotoni?

...Oooh, hivi kuna uhusiano baina ya wivu na elimu? au unazungumzia Elimu dunia- ( "asiyefunzwa na mama'ke hufunzwa na dunia" )?

nakubaliana nawe Insecurity ya mtu inawezekana imechangiwa na malezi japo "maisha" yanawalazimu nyote madhali mna akili timamu kuchukua responsibility ya matendo yenu wenyewe katika ndoa yenu mfano; kujiamini, kuheshimiana, kuaminiana, kusameheana, kusikilizana, kuelimishana, kupendana etc etc...

'psychologists' mnasemaje?
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
47,132
17,109
Dar Si Lamu ::::::::::huyu Afundwi Wala Kufundishika Ogopa Mwanamke Au Mwanaume Anaelipuka Kwa Kurudisha Kisasi Cha Mapenzi Wacha Ogogpa,,,wengine Wanalia...tatizo Huyu Ana Kidudu Mtu...yaani Anaitaji Maombezi Ya Kwa Mama Rwakatare Akaombewe Atolewe Pepo La Zinaa Au Mapenzi
 
Hapo uko sawa usikute hiyo sio mara yake ya kwanza kufanya hivyo.
 
Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
18,940
7,924
kawaida ya wanawake ndio hiyo!

walifeli masomo yoote yanayohusiana na research
 
Daud omar

JF-Expert Member
Apr 4, 2011
2,458
971
Huyu alikuwa mtu wa namna hiyo tu mwanamke kwenda kutoa mambo mara moja kiasi hicho huyo ni chetu kwelikweli aka changu.Maana two wrong do not make right.
Pili ni mkurupukaji pia

We hebu andika vzuri
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom