Usiri katika mahusiano ndio sababu inayosababisha usaliti.

Mzee Uchwara

Senior Member
Oct 28, 2013
119
0
Ili kila mtu afurahi mnopokuwa mnafanya ngono ni lazima muambiane ukweli. Ukweli utasaidia kulekebisha kasoro. Mfano wanawake wengi huwa waoga kuwaambia wenzi wao ni staili gani anayoipenda, sehemu gani ashikwe ili asisimke na kupata nyege na ufanye nini ili aridhike . Pia mwanamke unaweza kumuuliza je umeridhika akakujibu ndio kumbe sio au akawa anaguna na kupiga kelele wakati wa kukong'otana wewe ukajua unamridhisha kumbe sivyo na unavyofikilia. Acheni usiri kina dada fungukeni ili mpate raha ya dunia.
 
angelita

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
3,015
2,000

wanaume wengine wakiambiwa ukweli wanachukia huona kama kazarauliwa
 
Daud omar

JF-Expert Member
Apr 4, 2011
2,459
1,225
akiwa anaguna na kupiga kelele wakati wa kukong'otana wewe ukajua unamridhisha kumbe sivyo na unavyofikilia. .

Ukiona hivyo ujue ni mwizi tena kimbia kabla hajakukimbiza, yan hata mkono hauja kama vzuri maeneo Eti yeye Ash! Ash! Ash! Aaaaa unaibiwa ndugu mchana kweupeee..
 
Mapi

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
6,853
1,250
sasa akuambie hujamridhisha wakati ulimi anauona nje.
 
Heaven on Earth

JF-Expert Member
Mar 21, 2013
37,139
2,000

hapo ukute amejikamua wee.ndio maana sa nyingine tunadanganya tu
 
Tized

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
4,023
2,000
Nataka nizitafute mwenyewe, na njiani lazima nitagundua nyingine ambazo naye alikuwa hazijui. Kwanini ufanyie kazi ugunduzi wa mwanaume mwenzako (may be kuna jamaa amewahi mgusa apo ndio akajua)

Tafuta mwenyewe, uvivu mwiko.

(just the other side of the coin)

Ili kila mtu afurahi mnopokuwa mnafanya ngono ni lazima muambiane ukweli. Ukweli utasaidia kulekebisha kasoro. Mfano wanawake wengi huwa waoga kuwaambia wenzi wao ni staili gani anayoipenda, sehemu gani ashikwe ili asisimke na kupata nyege na ufanye nini ili aridhike . Pia mwanamke unaweza kumuuliza je umeridhika akakujibu ndio kumbe sio au akawa anaguna na kupiga kelele wakati wa kukong'otana wewe ukajua unamridhisha kumbe sivyo na unavyofikilia. Acheni usiri kina dada fungukeni ili mpate raha ya dunia.
 
Daud omar

JF-Expert Member
Apr 4, 2011
2,459
1,225
kozo usiniambie ulimjibu, manaake huo ulikuwa mtego amekuwekea anataka aone vp wew ndio wale wale..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom