Wanawake kuweni wasafi basi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake kuweni wasafi basi!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mitishamba, Jan 30, 2012.

 1. m

  mitishamba JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimepanda daladala,
  Imejaa kupita kiasi,
  Nimesimama na pembeni yangu yupo mdada,
  Kisura anaonekana si haba,

  Kidevu kimejaa ndevu,
  Ameshika bomba kama mimi,
  Amevaa kitopu, mikono juu,
  Jasho chepechepe, manyoya kibao, kikwapa tena ndo usiseme.

  Kitop kimepanda juu,
  G-string njenje, imefubaa hiyo balaa,

  Siwezi kuendelea kusimulia!

  Nilitamani safari yangu iishe haraka, nilipofika nikashukuru...nikawaachia dhahama hilo washika bomba walioendelea na safari.

  Jamani wadada walau kausafi kidogo basi.
   
 2. M

  MUMY A JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 234
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duh,pole kwa yaliyokusibu....
   
 3. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Wamekusikia,tena inawezekana wengine wapo humuhumu!
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Jitolee basi kumnyoa, afu mwachie 5000 apitie Kariakoo anunue zile za buku buku.
   
 5. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,215
  Likes Received: 10,559
  Trophy Points: 280
  mkuu nahisi haukufika uliishia njiani. pole sana kwa maswahibu yaliyokukuta.
   
 6. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Yani umemkodolea macho kote huko? kwanini usimwambie kama anakukera?
   
 7. i

  ivy blue carter Senior Member

  #7
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mmmh ilo kweli chafu duu.
  pole kwa hilo swahibu ndugu.
   
 8. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #8
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Wakati mwingine unaposikia ka harufu lazima ukague kanapotokea!
   
 9. m

  mitishamba JF-Expert Member

  #9
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  Jan 30, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ngoja nikakope deodorant alafu nioge.
  Kidevu ntashevu nikinunua sukari ili nitengeneze wax.
   
 11. m

  mitishamba JF-Expert Member

  #11
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumbe sukari inatengeneza waxi eeh!
   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  aisee, ile mahari ya kunioa mke wa pili naomba usiilete tena! kumbe hutaki nifanye kazi ili uwe unachungulia wadada huko kwenye daladala hivyo eeh!
  :A S embarassed::shock:
   
 13. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #13
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ungemwambia mmachinga anayepita nje akupe ile perfum ya bei rahisi kabisa inaitwa "COBRA" halafu unamwambia mpe huyo mdada.

  Mimi inanikera sana kuona mdada ana jasho kwapani yaani inakera mnooooo!! mwengine tena kavaa fresh lakini amesweti jasho hadi wengine blouse nyeupe ina turn YELLOW!! na sababu kubwa ni kuacha manyoya mengi!!!
   
 14. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #14
  Jan 30, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,071
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  wadada huwa tunajitahidi sana kuwa wasfi, ukikuta baadhi kama huyo ulokutana nae mara nying wanakua hawajitambui na hawapendi kujifunza kutoka kwa wenzao
   
 15. m

  mitishamba JF-Expert Member

  #15
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Halafu wee mambo ya chumbani mbona unayaleta sebuleni...tena leo kumejaa watoto hadi wa majirani.
   
 16. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #16
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Ulimwambia huyo dada awe msafi kwa ulivyoviona?? unafiki
   
 17. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #17
  Jan 30, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Yupp yupp!!
   
 18. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #18
  Jan 30, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Khaaaa,
  Mkuu hapa iweke vizuri mbona umetujumuisha wadada wote humo wakati umeona mmoja tu?
  Kwa kumsaidia ungemwambia tu maana huku ujumbe hautafikia na ataendelea kujiona poa,
  Pole kwa hilo japo km ukilinganisha na wakaka wanaotoa viharufu vya ajabu,
  Idadi ya wakaka ni kubwa zaidi!
   
 19. m

  mitishamba JF-Expert Member

  #19
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi unawajua wanawake? Ningemwambia hiyo kitu angeniaibisha ndani ya gari........
   
 20. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #20
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  ....wa kiume mwenzio huyo, shtuka na wewe.
   
Loading...