huyu mwanaume ananishangaza

Broken soul

JF-Expert Member
Oct 24, 2013
459
0
Tunafahamiana mda sasa

Ni rafiki yangu wakaribu sana na tunashirikiana ktk mambo mengi

We are so very close kiasi kwamba ishu zake zote nnazo mimi, na zangu anazo

akigombana na girlfriends zake mie ndo naombwa ushauri, ntafanyaje kama rafiki siwezi kumuhukumu eti ana wapenzi wengi coz friends hawahukumiani Hata siku moja ila wanarekebishana tu hapa na pale.

Hayya tatizo linakuja anaanza kuniwinda mimi, Mara ooh si mnazijua zilee

Basi jamaa bila chembe si aka-apply mwai (lugha WA vijana WA siku hizi)

Sijamuelewa anataka nini hasa maana hao wawili wote hawamtosh?? Anataka kuniongeza kwenye list?

Nimeamini kweli Hamna urafiki Kati ya mwanamke na mwanaume.

Wanaume na tamaa zao (sija generalize msije mkanipiga mawe)Usiku mwema wapendwa
 
Misa

JF-Expert Member
Jul 5, 2013
838
195

labda ameona una kitu fulani unamvutia wala alionao hawana.wewe kwani umeamuaje?
 
vick28

Senior Member
Jul 26, 2013
105
0
Kuna uzi asubuhi jamaa kasema amekua na marafiki wakaishia kuwa wapenzi. Ukweli upo
 
Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
18,942
2,000
yani mtu kakutongoza halafu unasema huelewi anataka nini?

hebu mkubalie uone atachochukua kwako ni kipi!

you are still a virgin bila shaka!
 
Ablessed

JF-Expert Member
Mar 19, 2013
4,616
2,000
Pole sana mkuu kwa yaliyokusibu. Ni vigumu kukuambia usimkubali au mkubali kwani moyo ni kiza kinene. Je wewe msimamo wako ni upi/ukoje. Huyo ndugu anataka kukutumia kama anavyowatumia wengine na ameona huenda akikujaribu utakubali sasa kazi kwako. Ningekua mimi ndio natendewa hayo ningempa makavu laivu na urafiki ungekua mwisho kwani si mtu huyo.
 
JtheTATA

JF-Expert Member
Jun 14, 2013
333
170
mimi ndio maana huwa sitaki mazoea na mademu yaani siku ukijichanganya tu basi hupati kitu na urafiki unafia hapo
 
High Vampire

JF-Expert Member
Nov 17, 2012
2,273
2,000
Mpe kidogo jamani aonje kwa sababu na wewe ni mzinzi tu utakuwaje na rafiki mzinzi wakati wewe hufanyi yawezekana na wewe ni walewale tu
Tunafahamiana mda sasa

Ni rafiki yangu wakaribu sana na tunashirikiana ktk mambo mengi

We are so very close kiasi kwamba ishu zake zote nnazo mimi, na zangu anazo

akigombana na girlfriends zake mie ndo naombwa ushauri, ntafanyaje kama rafiki siwezi kumuhukumu eti ana wapenzi wengi coz friends hawahukumiani Hata siku moja ila wanarekebishana tu hapa na pale.

Hayya tatizo linakuja anaanza kuniwinda mimi, Mara ooh si mnazijua zilee

Basi jamaa bila chembe si aka-apply mwai (lugha WA vijana WA siku hizi)

Sijamuelewa anataka nini hasa maana hao wawili wote hawamtosh?? Anataka kuniongeza kwenye list?

Nimeamini kweli Hamna urafiki Kati ya mwanamke na mwanaume.

Wanaume na tamaa zao (sija generalize msije mkanipiga mawe)Usiku mwema wapendwa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom