ilisha juniour
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 714
- 220
Jamani mwenye upweke na stress kama mimi karibu tuliwazane,unaruhusiwa ku PM,Ila angalizo mimi ni mwanaume
Afadhari wewe umewaambia, maana kuna mwenzio kabaka kukuJamani mwenye upweke na stress kama mimi karibu tuliwazane,unaruhusiwa ku PM,Ila angalizo mimi ni mwanaume
Afadhari wewe umewaambia, maana kuna mwenzio kabaka kuku
Kama stress zinakusumbua sana soma bibilia au sikiliza nyimbo uzipendazo.
Pole kwa upweke keep ua self busy with what u like u can also have fun with friends
Kumbe tuko wengi!!
Samahani ndugu yangu hivi una marafiki hata wakujichanganya nao?Nahisi upweke unakusumbua sana....Una mwenza?I am worried abt you japo sikujui!!!
Jamani mwenye upweke na stress kama mimi karibu tuliwazane,unaruhusiwa ku PM,Ila angalizo mimi ni mwanaume
Jamani mwenye upweke na stress kama mimi karibu tuliwazane,unaruhusiwa ku PM,Ila angalizo mimi ni mwanaume
Jaribu kutafuta marafiki hata hapa JF mbona kuna watu wapo poa sana tu...Jichanganye my dia...Usijipe stress maisha yenyewe mafupi....enjoy it while it lasts....mwenza sina,marafiki nliokuwa nao weng wana maisha yao sahv kwaio wananipotezea kwakuwa sina kitu!,
Afadhari wewe umewaambia, maana kuna mwenzio kabaka kuku
kabaka mwanajf mwenzie?
Afadhari wewe umewaambia, maana kuna mwenzio kabaka kuku
kwa hiyo unaweza kuenda beyond chating ? au utaki wanume wenzio?
Shikamoo babu AsprinNa huyo unayemtafuta akupunguzie stress awe mwanaume mwenzio au mwanamke? Uliberali umeshika kasi sana siku hizi.