Mganga amgegeda kwa ahadi ya kupata mtoto

B.G TANTAWI

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
495
375
Mganga mmoja hapa musoma amemrubuni mwanamke mmoja anayeishi makoko kuwa tatizo lake la kutopata mtoto litakuwa historia ikiwa yeye (mganga) atafanya naye tendo la ndoa, mwanamke huyo kabla ya kukubali alimuuliza rafiki yake waliyeenda naye kwa mganga mwanamke huyo akasema amua ww mwenyewe, basi mama huyo akakubali mganga akala mzigo akasema mwezi wa 11 mwaka huu ampe mumewe papuchi na atapata ujauzito, hadi sasa hakuna dalili za ujauzito, sasa rafiki yake ndo anayamwaga mtaani.

Hivi hawa waganga wanalipa VAT kweli?

aisee, tunahitaji kupanua wigo wa kodi, nchi inashindwa kuhimili bajeti yake! Wapelekewe kale kamashine ka TRA , shida akiagiza jogoo, mchele, akila uroda ... sijui mashie itakata kodi kiasi gani?
 
mh...kwamatatizo ya uzaz wanawake tutakoma..cio waganga wa kienyeji tu hata baadhi ya madoctor hospitalin wana hii tabia..
 
Mganga mmoja hapa musoma amemrubuni mwanamke mmoja anayeishi makoko kuwa tatizo lake la kutopata mtoto litakuwa historia ikiwa yeye (mganga) atafanya naye tendo la ndoa, mwanamke huyo kabla ya kukubali alimuuliza rafiki yake waliyeenda naye kwa mganga mwanamke huyo akasema amua ww mwenyewe, basi mama huyo akakubali mganga akala mzigo akasema mwezi wa 11 mwaka huu ampe mumewe papuchi na atapata ujauzito, hadi sasa hakuna dalili za ujauzito, sasa rafiki yake ndo anayamwaga mtaani.

Kuna mmoja aliambiwa kuna dawa inabidi ipakwe ukeni kwa ndani kabisa, na itapakwa kwa kupelekwa na uume wa mganga..... mzigo ukaliwa kiulaiiiniiii.

Dunia ina mambo...

Back
Top Bottom