Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nilikuwa na mwanamke naishi naye kama mke wangu kwa muda wa miaka kama 3 hivi! Ilitokea kuishi nae baada ya kumpa mimba wakati nikiwa chuo mwaka wa 3, yeye ndio alikuwa amemaliza kidato cha IV...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
HASA nyani, unakuta baadhi ya wanyama hawa hawana hofu wala woga wanapomwona mwanamke hata awe mtu mzima vipi wanyama wengine ni kama mbuzi dume, unakuta beberu beberu anadiriki hata kuchom na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni kijana nina wa miaka 26,miaka minne iliyopita nikiwa mwaka wa kwanza chuo kikuu cha dar udsm nilifanikiwa kumpata binti mmoja wa kichaga tulipendana sana ikafikia hadi kupata mtoto wa...
1 Reactions
54 Replies
4K Views
Hebu fikiria kama watu wafanyapo mapenzi kila bao lingekuwa na mlio kama wa risasi paaaa! Je usiku tungelala kweli?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Life isn’t about waiting for the storm to pass, it’s about learning to dance in the rain. A person does not have to be behind bars to be a prisoner. People can be prisoners of their own...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Siku nyingi sana huwa nnatamani sana kupata mpenzi mwenye penzi la kweli kupitia mtandaoni,lkn cjawahi kupata!! Nifanyeje? Km yupo,namhitaji sana,lkn asiwe mpenda raha. Mi nataka wa kuniliwaza...
3 Reactions
127 Replies
12K Views
mambo vipi wadau wa mmu na jf kwa ujumla i hope mko poa kuna kitu nimekutana nacho humu jf so nimeona niulize kwenu may be nitapata ufumbuzi wa swali langu leo katika pita pita zangu jf nimeingia...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Closed
mimi huwa najiuliza mara nyingi bila jibu, hivi inakuwaje mwanaume anapocheat au kufanya kosa la usaliti wa namna yoyote ile, uliona kama ni kitu cha kawaida tu, bila kufikiri ni maumivu gani...
0 Reactions
60 Replies
6K Views
Nimetokea kupachukia sana Kigali, ingawa nasikia na Addis napo hapafai.....:lie::lie: Bahati nzuri nimestaafu.... nasaidiana na Bibi kuitafuna pensheni yangu....lol!! Ila Kigali ni mojawapo ya...
10 Reactions
246 Replies
18K Views
Habari zenu wana JF! Naomba kuwauliza nyie wanaume, hivi hamna kitu cha kuwasifia wanawake/wadada? Posts nyingi ni malalamiko tuuu, ina maana mbele ya macho yenu hakuna mema tuyatendayo? Mara...
3 Reactions
61 Replies
5K Views
"I AM PREGNANT" she TOLD her MAN... he SMILED and KISSED her LIPS and said"CORRECTION MY LOVE we ARE pregnant. FOR that CHILD in YOUR womb is HALF of ME and HALF of YOU; and I will NOT let...
5 Reactions
41 Replies
4K Views
Habari Za Mwanzo Wa Wiki Wana-MMU!! Ndugu zangu napitia katika wakati mgumu sana katika ulimwengu huu wa mapenzi,.. Takriban miezi nane iliyopita nilikuwa na mahusiano na msichana ambaye...
0 Reactions
96 Replies
13K Views
I am tired with this world,i was born in 1993, student chuo fulani hapa tanzani,..kila ninapojaribu kumpenda msichana kawahiwa,mie had leo sina hata girlfriend and i am still virgin had leo,kwa...
3 Reactions
234 Replies
15K Views
habarini za leo.. nipo njia panda yani nahitaji msaada wa mawazo na nadhani hapa nitapata. nilikuwa na bf wangu kwa kama miaka miwili hivi baadae nikagundua ananicheat basi nikaamua tuachane...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Nashukuru Mungu kampeni dhidi ya ukatili wa kijinsia imepamba moto,pengine itasaidia kufuta kabisa ukatili dhidi ya wanawake na watoto.Mie nachukia sana ukatili dhidi ya mtu yeyote bila kujali...
12 Reactions
74 Replies
6K Views
Lawama "Mimi ni mdada, mwenye miaka 30, pia nipo kwenye ndoa miaka 8. Kwa bahati mbaya nipo kwenye lile kundi wasiokuwa na watoto ila si tasa, nikiwa kwenye ndoa niliwahishika ujauzito...
1 Reactions
42 Replies
13K Views
Kutokana na utamaduni wa kumtongoza mwanaume kutokuwepo. Je mnatumia njia gani kuhakikisha umpendae kwa dhati ndiyo anakuwa mmeo? Karibuni.
0 Reactions
30 Replies
3K Views
habari zenu wana jamvi., mwenzenu nlikua na mpenz 2lopendana sana kwa bahati nzur mwenyez mungu kamchukua.ni miez ming toka aondoke duniani lakin siku zote najawa na mawazo mpaka nahisi...
0 Reactions
55 Replies
6K Views
Am new hapa,kuku mgeni mie bdo kamba mguun ninayo...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu ni kundi gani linapata shida sana wakiwa hawana mwenza je ni wanaume au wanawake?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…