Naombeni ushauri waungwana

Nsele

Member
Dec 7, 2013
80
95
Mimi ni kijana nina wa miaka 26,miaka minne iliyopita nikiwa mwaka wa kwanza chuo kikuu cha dar udsm nilifanikiwa kumpata binti mmoja wa kichaga tulipendana sana ikafikia hadi kupata mtoto wa kike tukiwa mwaka wa pili.tuliishi geto kwa kutegemea boom hadi tuka maliza chuo mwaka jana.Tatizo nililo nalo ni kwamba tangia tupate kazi mwenzangu hanitaki tena mbaya zaidi hataki hata mtoto aje kwangu kunisalimia.pia mm muda wa kuoa umefika.so members wha can ido?j
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
41,196
2,000

Huyu ni msomi wa chuo kikuu na bado elimu haijamkombowa! Makubwa haya.

Tip: idadi ya wanawake Duniani wanazidi billioni 3, hivyo basi kama ni fair game kila mwanaume anatakiwa kumiliki si chini ya wanawake wanne.
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,411
2,000
Mtoto alipozaliwa ulikuwa wapeleka matunzo?

Nina hisia kwamba hiyo mimba haikuwa ya kutarajiwa, baadaye ukawa wapeleka matunzo hafifu kwa mama kijacho.

Kumbe mwenzako akawa na lake moyoni akisubiria wakti ambao mambo yake ya kiuchumi yatapokuwa mswano.

Pia nahisi hata ulipofika wakti wa kupata ajira, wewe ndiye uliyetangulia kupata lakini bado hukuwa mwepesi kutoa matunzo stahiki.

Sasa kuna mawili, kapata mtu anayejali na kuamua kukupotezea au ajira aliyonayo ina ujira mnono utoshao kukidhi mahitaji yake na mtoto.

Ushauri:
Angalia nyuma na utazame wapi ulipojikwaa...rudi hadi hapo na rekebisha sasa.
 
Nsele

Member
Dec 7, 2013
80
95
Huyu ni msomi wa chuo kikuu na bado elimu haijamkombowa! Makubwa haya.

Tip: idadi ya wanawake Duniani wanazidi billioni 3, hivyo basi kama ni fair game kila mwanaume anatakiwa kumiliki si chini ya wanawake wanne.

natambua hicho lakini nampenda sana japo yy hanitaki so friend tell me what to do
 
Himidini

JF-Expert Member
May 8, 2013
5,540
1,225
^^
Sijui tutumie mfumo gani ili tuwe tunasikia na upande wa pili.. Maana tunashauri kwa kutazama upande mmoja,mi naamini huyo dada akileta maelezo yake,,mambo yatachukua sura nyingine
^^
 
Nsele

Member
Dec 7, 2013
80
95
Mtoto alipozaliwa ulikuwa wapeleka matunzo?

Nina hisia kwamba hiyo mimba haikuwa ya kutarajiwa, baadaye ukawa wapeleka matunzo hafifu kwa mama kijacho.

Kumbe mwenzako akawa na lake moyoni akisubiria wakti ambao mambo yake ya kiuchumi yatapokuwa mswano.

Pia nahisi hata ulipofika wakti wa kupata ajira, wewe ndiye uliyetangulia kupata lakini bado hukuwa mwepesi kutoa matunzo stahiki.

Sasa kuna mawili, kapata mtu anayejali na kuamua kukupotezea au ajira aliyonayo ina ujira mnono utoshao kukidhi mahitaji yake na mtoto.

Ushauri:
Angalia nyuma na utazame wapi ulipojikwaa...rudi hadi hapo na rekebisha sasa.

alipo pata ujauzito alifukuzwa kwao tuliishi wote geto mpaka tulipo maliza chuo.matumizi ya y mtoto napeleka mpaka leo si chini ya laki na nusu kwa mwezi
 
miss chagga

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
57,913
2,000
yawezekana mwana si wako huyo kabisa amini ivyo!!!!!!!!! joke
je kakuzidi kipato?
na miaka 26 kwa mwanaume kuoa mapema sana?
je una assets gani mpaka sasa?
una uhakika unamridhisha kwenye mapenzi?

na pia jaribu kumuuliiza tatizo ni nini?
 
miss chagga

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
57,913
2,000
alipo pata ujauzito alifukuzwa kwao tuliishi wote geto mpaka tulipo maliza chuo.matumizi ya y mtoto napeleka mpaka leo si chini ya laki na nusu kwa mwezi

anataka labda milion kila mwezi... kapata wa kumzuzua huyo bwana
 
MankaM

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
9,451
1,500
Huyu ni msomi wa chuo kikuu na bado elimu haijamkombowa! Makubwa haya.

Tip: idadi ya wanawake Duniani wanazidi billioni 3, hivyo basi kama ni fair game kila mwanaume anatakiwa kumiliki si chini ya wanawake wanne.

Aiseee
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,411
2,000
alipo pata ujauzito alifukuzwa kwao tuliishi wote geto mpaka tulipo maliza chuo.matumizi ya y mtoto napeleka mpaka leo si chini ya laki na nusu kwa mwezi

Laki moja unusu waona yatosha mkuu?

Ndio maana nimeandika hapo juu kuwa kuna some sort of dissatisfactions toka kwa huyo bi mkubwa.

Sasa to get her back wahitaji uwe na kisu kirefu kaka, otherwise tafuta ustaarabu mwingine maana ameshakuondoa akilini huyo.
 
DEMBA

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,228
2,000
^^
Sijui tutumie mfumo gani ili tuwe tunasikia na upande wa pili.. Maana tunashauri kwa kutazama upande mmoja,mi naamini huyo dada akileta maelezo yake,,mambo yatachukua sura nyingine
^^
umeona!!! ni ngumu sana kujudge kwa kusikiliza maelezo ya upendo mmoja.
 
miss chagga

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
57,913
2,000
yeye yupo tra.mimi ni mwalimu

aaaah kwshine hapo TRA hawajamwacha ...........we anza kutafuta michakato mingine tu aisee ila usiache kupeleka matumizi ya mtoto na ukikutana nae aisee jaribu kupima kwanza au tumia kinga kabisa ...................
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom