hivi wanaume wana wivu, au ni ubabe tu?

Status
Not open for further replies.

Lady.A

JF-Expert Member
Dec 13, 2013
392
191
mimi huwa najiuliza mara nyingi bila jibu, hivi inakuwaje mwanaume anapocheat au kufanya kosa la usaliti wa namna yoyote ile, uliona kama ni kitu cha kawaida tu, bila kufikiri ni maumivu gani anayoyapata msalitiwa.

ila sasa ngoma inakuja kuwa tamu ukigeuza upande wa pili, yaani mwanaume kusalitiwa au mwanamke kusaliti! hapo utadhani hilo kosa ni la jinai, wakati yeye analifanya bila hata kushtuka.

sasa je, huo unakuwa ni wivu au ni ubabe? na mkae mkijua kwamba wanawake wanaumia tena pengine zaidi ya nyinyi kwa kosa hilohilo.

nani kaguswa..!
 
Wanaume hujawajua tuuuuu! UKIMCHEAT MCHEAT NA MTU W MAANA ZAIDI YAKE MARA 100,000, watu wenye P.O.Box zao mjini hapa, watu wenye TIN number zao wnatambulika na TRA, akikufuma anakuwa mdogo kama piriton hata nguvu ya kurap na kurealease single double double anakuwa hanaaaaaaaaa! Manaeno yanamkaukaaaa kau ka jangwa la sahara. Anahisi UMASIKINI wake ndo umemponza amegewe kumbe mwanamke mwenyewe tu genye mshindo ndo zimeleta madhara! Anaondoka mikono nyuma korodani zote zimejaa upepo! (ITS NOT A VERY PRETTY SITE!)

Sasa ukitaka kujua chizi akirogwa tena anakuwaje mcheat na Free Pumbu!!!!!!!!!! Weeeeeeeeeee! Wewe na free pumbu wako hamna rangi mtaacha ona siku hio. Na akizingatia free p kamzidi vipi kete ndo hsira zinamiminika! Ata rap, bongofleva, hiphop, mpaka marimba kwa wakati mmoja! Atawapeni kichapo ch mbwa mwizi. Utajutaaa kumfahamu siku hio. Free p ndo namuone mpaka imani kitachomkuta!

NDO TUISHIVO MJINI HUMU!
 
nimecheka mpaka machozi! we lara 1 unataka kuwapandisha mzuka?
 
lara 1 umegusa penyewe.natumia cm ningekupa like.hawa ndio dawa yao.umenikoshaaa!
 
mimi huwa najiuliza mara nyingi bila jibu, hivi inakuwaje mwanaume anapocheat au kufanya kosa la usaliti wa namna yoyote ile, uliona kama ni kitu cha kawaida tu, bila kufikiri ni maumivu gani anayoyapata msalitiwa.

ila sasa ngoma inakuja kuwa tamu ukigeuza upande wa pili, yaani mwanaume kusalitiwa au mwanamke kusaliti! hapo utadhani hilo kosa ni la jinai, wakati yeye analifanya bila hata kushtuka.

sasa je, huo unakuwa ni wivu au ni ubabe? na mkae mkijua kwamba wanawake wanaumia tena pengine zaidi ya nyinyi kwa kosa hilohilo.

nani kaguswa..!
huu mkutano wa beijini huu una mambo kwelikweli..
 
Wanaume hujawajua tuuuuu! UKIMCHEAT MCHEAT NA MTU W MAANA ZAIDI YAKE MARA 100,000, watu wenye P.O.Box zao mjini hapa, watu wenye TIN number zao wnatambulika na TRA, akikufuma anakuwa mdogo kama piriton hata nguvu ya kurap na kurealease single double double anakuwa hanaaaaaaaaa! Manaeno yanamkaukaaaa kau ka jangwa la sahara. Anahisi UMASIKINI wake ndo umemponza amegewe kumbe mwanamke mwenyewe tu genye mshindo ndo zimeleta madhara! Anaondoka mikono nyuma korodani zote zimejaa upepo! (ITS NOT A VERY PRETTY SITE!)

Sasa ukitaka kujua chizi akirogwa tena anakuwaje mcheat na Free Pumbu!!!!!!!!!! Weeeeeeeeeee! Wewe na free pumbu wako hamna rangi mtaacha ona siku hio. Na akizingatia free p kamzidi vipi kete ndo hsira zinamiminika! Ata rap, bongofleva, hiphop, mpaka marimba kwa wakati mmoja! Atawapeni kichapo ch mbwa mwizi. Utajutaaa kumfahamu siku hio. Free p ndo namuone mpaka imani kitachomkuta!

NDO TUISHIVO MJINI HUMU!

Minasoma hata sielewi, sijui umri umekwenda!!?
Ngoja niwapishe vijana wezio waje, maana nahisi washajaa upepo na wanakaribia kupasuka
 
Wanaume hujawajua tuuuuu! UKIMCHEAT MCHEAT NA MTU W MAANA ZAIDI YAKE MARA 100,000, watu wenye P.O.Box zao mjini hapa, watu wenye TIN number zao wnatambulika na TRA, akikufuma anakuwa mdogo kama piriton hata nguvu ya kurap na kurealease single double double anakuwa hanaaaaaaaaa! Manaeno yanamkaukaaaa kau ka jangwa la sahara. Anahisi UMASIKINI wake ndo umemponza amegewe kumbe mwanamke mwenyewe tu genye mshindo ndo zimeleta madhara! Anaondoka mikono nyuma korodani zote zimejaa upepo! (ITS NOT A VERY PRETTY SITE!)

Sasa ukitaka kujua chizi akirogwa tena anakuwaje mcheat na Free Pumbu!!!!!!!!!! Weeeeeeeeeee! Wewe na free pumbu wako hamna rangi mtaacha ona siku hio. Na akizingatia free p kamzidi vipi kete ndo hsira zinamiminika! Ata rap, bongofleva, hiphop, mpaka marimba kwa wakati mmoja! Atawapeni kichapo ch mbwa mwizi. Utajutaaa kumfahamu siku hio. Free p ndo namuone mpaka imani kitachomkuta!

NDO TUISHIVO MJINI HUMU!

Hahahahaha! Umetisha mkuu.
 
KUNYA ULALE!!!!!!!!!! Naandika NACHOJISIKIA!!!!!!!!! Huna hadhi ya kunipangia cha kuandikaaaa! MATUSI UNAYAJUA WEWE? Kaa mbali na mimimdogo wangu! Sio SIZE YAKO! Chakufanya mpangie mkeo unayemlisha na kumpa pa kujisaidia bureee! Me ulienikuta mjini kwa hesabu zangu, hujui nakula wapi au nakunya wapi HUNIAMBII KITU MAISHA YAKO!

Mh.........
OMG.....!!!!
 
Men!!!!! Mennnnn!!!!
Inataka moyo sana!!
Tafuta maisha uishi vizuri
Achana na hawa viumbe wata kuumiza kichwa buree!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom