Msaada tafadhali

Msaada tafadhali

Yusuph Issa

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2013
Posts
528
Reaction score
82
mambo vipi wadau wa mmu na jf kwa ujumla i hope mko poa kuna kitu nimekutana nacho humu jf so nimeona niulize kwenu may be nitapata ufumbuzi wa swali langu leo katika pita pita zangu jf nimeingia katika jukwaa la PREMIUM MEMBERS but nashangaa sijaruhusiwa kuingia katika jukwaa hilo majibu tafadhali.......!!!
 
Lugha gongana. Tafuta maana ya neno premium kwenye kamusi au google alafu utajua kwa nini hujaruhusiwa.
 
Itakuwa ulikuwa hujavaa nguo...
 
Back
Top Bottom