Hodi hodiiiii!

Hodi hodiiiii!

Shonnah

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
200
Reaction score
55
Am new hapa,kuku mgeni mie bdo kamba mguun ninayo...
 
Karibu jf, ngoja wanakuja wengine kukukata hiyo kamba, lkn kabla ya yote jinsia yako tafadhali??
 
duh bora nimepata mgeni mwenzangu...ila jinsia yako haiku wazi..mimi ni kaka km ninavyoonekana ktk picha hapo.
 
karibu sana
Sehemu pekee ambapo watu huthubutu kuusema ukweli
Kuwa huru kwa kila jambo ingawa vigezo na masharti kuzingatiwa
 
umekuja KIMAHABATI-mapenzi ama Kisiasa, kimichezo.au ?
 
Karibu sana duh hiyo kamba itakatwa vzr ukitaja jinsia yako haaahaa
 
Jinsia ya KE,nashukuru kwa kukarbshwa
 
Karibu sana inaonekana una experienc japokuwa ni mgeni unakaribishwa jukwaa hili na mengne meng yaliopo
 
aiseee...! Kumbe ni KE!! Unajua na mimi ni ME..Tukifahamiana itakuwa JE? Hahahahaha karibu sana
 
waooo karibu mwezangu.ingawaje nami nimevamia jukwaa bila hodiii..i
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom