Sipati picha .....!!!!

Sipati picha .....!!!!

Baba Kapompo

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
1,344
Reaction score
468
Hebu fikiria kama watu wafanyapo mapenzi kila bao lingekuwa na mlio kama wa risasi paaaa! Je usiku tungelala kweli?
 
hii comedy mkuu!!

Peleka kwenye Jukwaa husika utakuwa umewatendea haki wahusika!!!
 
kuna bastora nyengine zinauwezo wa kuzuia sauti.xo naisi watuwangekuwa wanaset tu inalia kimyakimya..ila na wasiwasi na ya kwako ingekuwa gobole...
 
sipatii picha kwenye gest ingekuwa je...kama mizinga ya jeshi...
 
sipati picha kama jf ingekuwa face to face conversation..!

members wengi wangelikuwa na manundu kibao nyusoni mwao!
 
Back
Top Bottom