Ni sahihi nilivyoachana nae!?

Ndakilawe

JF-Expert Member
Jul 6, 2011
4,822
2,000
Nilikuwa na mwanamke naishi naye kama mke wangu kwa muda wa miaka kama 3 hivi! Ilitokea kuishi nae baada ya kumpa mimba wakati nikiwa chuo mwaka wa 3, yeye ndio alikuwa amemaliza kidato cha IV!

Kwao wakamsusa, nikaamua kuishi naye, nikamsomesha chuo cha ualimu ( Childhood education diploma). Nilimfahamu kupitia mdogo wangu wa kike, walikuwa wanasoma wote sekondary, likizo akawa anakaa kwetu, cku moja likizo fupi nikaenda home nikamkuta, nikatamani, nikamtongoza, wakati namaliza nimemaliza chuo akanipa mambo, ndio ikawa ivyo!

Sasa, wakati tukiishi wote, nikasikia kuwa aliwahi kutembea na ndugu yangu wa kiume, kabla mm cjamjua..Lakini alikubali kunivulia chupi ingali alijua kuwa alishatembea na ndugu yangu wa damu. Tena akazaa na mimi, na nikaishi naye baada ya kupuuzia hizo habari na yeye kumuuliza akakana, japo nilifanya uchunguzi na kugundua kuwa nikweli. Nikavumilia nikaona yalikuwa ya utotoni.

More worse, wakati huyu mwanamke, ilikuwa kila kitu ninachofanya nae ndani anahadithia nje , kwamf. nikila mambo kwenye kochi, kitandani, chini ya godoro anahadithia watu, siku akimshika jogoo asipojigusa anawaambia wenzake, jana huyu ---- kavuruga nje, anahadithia pia. Nivumilia

Mbaya zaidi, mimi huwa nasafiri mara kwa mara kwenye mihangaiko yangu, nafanya kazi za kitaaluma na ukulima huko mikoani, anasema kuwa nafanya umalaya huko, haniamini kabisa!

Mbaya zaidi, nikiwapo home hatumii kilevi, ila nikiondoka nasikia analewa mbaya.

Mbaya kupita zote, alikuwa anamwacha mwanangu kwa majirani anakwenda kwa shughuli zake anarudi hata saa nne.

Nimeamua kumuacha, sasa ni mwaka umepita, ila aninisumbua sana yeye pamoja na ndugu zake..ila kiukweli sijickii kumpenda kabisa hata kumwona sitaki. Mwanangu ninaye

NISAIDIE HAPO! Niendelee na mambo yangu au nimpe nafasi tena?
 
Himidini

JF-Expert Member
May 8, 2013
5,546
1,225
^^
Kama hakuna anaekubabaisha nje na hapa unaandika essay kutafuta sababu tu ya kumuacha,, basi muache.
Ila kumbuka neno hili MKE WA KWANZA ni WA KWANZA tu.
^^
 
kiparah

JF-Expert Member
Sep 7, 2010
1,175
0
Sasa ndugu tukusaidie nini wakati uamuzi ulishaufanya wa kumuacha? Mwaka mmoja umepita unakuja kuomba msaada, tumia akili yako vizuri kama jambo ulishaamua na kuona halikufai achana nalo!
 
mnyepe

JF-Expert Member
Dec 1, 2008
1,916
1,225
Usirudi nyuma wewe endelea na maisha yako kuanza upya si ujinga ila huyo sio Mwanamke wakuoa
 
Daudi1

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
6,820
2,000
Achana naye huyo hajitambui kama mke wa mtu, endele na mambo yako!
 
g click

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
2,430
1,225
we hiyo elimu yako haijakusaidia kufanya maamuzi?
tukushauri nini sasa hapa
 
byb sac

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
904
500
endelea na maisha yako na umlee mwanako.huyo mke akufai atakuletea maladhi .mumwache mtoto akiangaika..
 
Chocs

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
8,237
1,500
Yani sijakuelewa!
Mara umemwacha na hutaki kumwona,bado tena unataka kurudisha moyo nyuma!
Age inamsumbua bado,akikua ataacha ameona kuliko avuke stage bora afanye yote kwa wakati mmoja
Nilikuwa na mwanamke naishi naye kama mke wangu kwa muda wa miaka kama 3 hivi! Ilitokea kuishi nae baada ya kumpa mimba wakati nikiwa chuo mwaka wa 3, yeye ndio alikuwa amemaliza kidato cha IV!

Kwao wakamsusa, nikaamua kuishi naye, nikamsomesha chuo cha ualimu ( Childhood education diploma). Nilimfahamu kupitia mdogo wangu wa kike, walikuwa wanasoma wote sekondary, likizo akawa anakaa kwetu, cku moja likizo fupi nikaenda home nikamkuta, nikatamani, nikamtongoza, wakati namaliza nimemaliza chuo akanipa mambo, ndio ikawa ivyo!

Sasa, wakati tukiishi wote, nikasikia kuwa aliwahi kutembea na ndugu yangu wa kiume, kabla mm cjamjua..Lakini alikubali kunivulia chupi ingali alijua kuwa alishatembea na ndugu yangu wa damu. Tena akazaa na mimi, na nikaishi naye baada ya kupuuzia hizo habari na yeye kumuuliza akakana, japo nilifanya uchunguzi na kugundua kuwa nikweli. Nikavumilia nikaona yalikuwa ya utotoni.

More worse, wakati huyu mwanamke, ilikuwa kila kitu ninachofanya nae ndani anahadithia nje , kwamf. nikila mambo kwenye kochi, kitandani, chini ya godoro anahadithia watu, siku akimshika jogoo asipojigusa anawaambia wenzake, jana huyu ---- kavuruga nje, anahadithia pia. Nivumilia

Mbaya zaidi, mimi huwa nasafiri mara kwa mara kwenye mihangaiko yangu, nafanya kazi za kitaaluma na ukulima huko mikoani, anasema kuwa nafanya umalaya huko, haniamini kabisa!

Mbaya zaidi, nikiwapo home hatumii kilevi, ila nikiondoka nasikia analewa mbaya.

Mbaya kupita zote, alikuwa anamwacha mwanangu kwa majirani anakwenda kwa shughuli zake anarudi hata saa nne.

Nimeamua kumuacha, sasa ni mwaka umepita, ila aninisumbua sana yeye pamoja na ndugu zake..ila kiukweli sijickii kumpenda kabisa hata kumwona sitaki. Mwanangu ninaye

NISAIDIE HAPO! Niendelee na mambo yangu au nimpe nafasi tena?
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,135
2,000
Huyo alikuwa mkeo au hawara, sijaona mahali ulipoandika kama umefunga naye ndoa...
 
charty

JF-Expert Member
Oct 28, 2013
7,360
2,000
Fanya kile ambacho moyo wako unakutuma ufanye!!ila kumbuka Nobody is PERFECT!!
 
Top Bottom