Wanaume wa Ukweli Hubeba Ujauzito!

Wanaume wa Ukweli Hubeba Ujauzito!

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,900
Reaction score
37,695
"I AM PREGNANT" she TOLD
her MAN... he SMILED and
KISSED her LIPS and
said"CORRECTION
MY LOVE we ARE pregnant. FOR that
CHILD in YOUR womb is HALF of ME
and HALF of YOU; and I
will NOT let YOU go THROUGH
the PREGNANCY alone... I may
NOT carry OUR child BUT i WILL
carry YOU and OUR child IN my
HEART and CARE. I WILL be THE best
FATHER to OUR child...
WE are PREGNANT!" Now
that's a REAL MAN.!
TRUE or FALSE?
 
LIKUD umenena. umenena maneno mazito sana...
 
Last edited by a moderator:
^^
Nimeipenda! Napataga burudani fulani ivi kumuona mwanamke ana ujauzito!
Ntamwimbia mashairi matamu aki.. (we Himidini unaongea nini?)
^^
 
Mmmmh tatizo mabinti wanaamini zaidi kwny kuckia kuliko matendo bac jibu ni TRUE..ila naongea ivo jioni nimekula vyombo vyangu makofi juu au siongei ila natenda vile stahiki kwake duh acha nipite kwnz ntarudi baadae nnavoropoka naweza kosa DARLING kisa ulimi mwayego.
Jibu=TRUE
 
hebu nibadilishieni kwa kiswahili nikamwambie my waifu.
 
Ha ha ha ha cpati picha na mbwembwe Za maneno hayo yote tena umenena kwa lugha ngeni hlf kitu c chako ha ha ha ha
 
kwa wanaume wa digital hiyo ni ngumu kutokea..labda mpaka waambiwe na doctor kwamba hauwezi kuzalisha tena....
 
Umenchekesha
Ila mbona hujatueleza hayo maongezi ni kina nani walikuwa wanaongea, si ajabu ulikuwa unawasikiza watu wawili wenye mtindio wa ubongo wakiongea.
 
Back
Top Bottom