Jamani hivi kwa nini baadhi ya wanyama hawamuogopi mwanamke??


P

poor

Member
Joined
Oct 18, 2013
Messages
46
Likes
0
Points
0
P

poor

Member
Joined Oct 18, 2013
46 0 0
HASA nyani, unakuta baadhi ya wanyama hawa hawana hofu wala woga wanapomwona mwanamke hata awe mtu mzima vipi wanyama wengine ni kama mbuzi dume, unakuta beberu beberu anadiriki hata kuchom na uume wake anapomwona mwanamke. ndipo ninapojiuliza
1.wanawezaje kuwatofaut isha binadam kwa jinsi zao?
2.je wanafahamu kuwa mwanamke ni mtu dhaifu kama tunavyoamini binadamu wengi?

2.na kama wanaamini hvyo,ni udhaifu upi wanaoamini wao?
ni hayo tu.
 

Forum statistics

Threads 1,249,648
Members 480,983
Posts 29,706,193