wanaume -wasiooa v/s wanawake wasioolewa

wanaume -wasiooa v/s wanawake wasioolewa

ODILI SAMALU

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2013
Posts
1,369
Reaction score
489
Wakuu ni kundi gani linapata shida sana wakiwa hawana mwenza je ni wanaume au wanawake?
 
kila mmoja anashida zake kulingana na wakati.
 
Kila upande unaathirika kwa namna yake,naamini hakuna mwanadamu aliyekamilika ambae hahitaji kuwa na mwenza,tatizo ni namna ya kumpata anayefaa,kuna wanaume majanga,kuna wanawake majanga ukifanikiwa kumpata akufaae tulia.
 
Hivi zama hizi za no strings attached kuna ugumu wowote?
 
Back
Top Bottom