Devil's Driver
Member
- Aug 14, 2013
- 64
- 20
mbona mzee hivo ?He he he, ni mzuri mno.
...lkn cjawahi kupata!! Nifanyeje?
ni mkurya au mmakonde ? ana wajukuu wangapi eti?Mkuu umetoka kupata ajali au ndio respesheni yako ilivyo?
Are Mr "driver of the devil"
hata angepiga na majengo pacha ya BOT kwa hayo mapokezi mmmh ! wengine tunapenda mahb banamkuu weka picha nyingine, safari hii piga pembeni ya gari & haijarishi kama ni la jirani & shika atm card kadhaa mkono wa kushoto wa kulia noti nyekundu kadhaa. Utawapata tu.
(Usisahau kutabasamu )
halafu sipendi suti za kushona mimi ..mwambie bwanaTangaza nia mkuu, dada zetu wa humu ndani wanataka sura ya kazi kama hiyo
ni mkurya au mmakonde ? ana wajukuu wangapi eti?
Mkuu umetoka kupata ajali au ndio respesheni yako ilivyo?
Siku nyingi sana huwa nnatamani sana kupata mpenzi mwenye penzi la kweli kupitia mtandaoni,lkn cjawahi kupata!! Nifanyeje? Km yupo,namhitaji sana,lkn asiwe mpenda raha. Mi nataka wa kuniliwaza kwa penzi la dhati na si kwenda club.