Mwanaume kupiga bomba ili hali yupo kwenye ndoa?

Lovebird

Lovebird

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Messages
2,510
Likes
313
Points
180
Lovebird

Lovebird

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2012
2,510 313 180
Lawama

"Mimi ni mdada, mwenye miaka 30, pia nipo kwenye ndoa miaka 8. Kwa bahati mbaya nipo kwenye lile kundi wasiokuwa na watoto ila si tasa, nikiwa kwenye ndoa niliwahishika ujauzito ukafikisha miezi 8 ikaharibika na kufanyiwa upasuaji hadi leo hii sijabahatika tena.Pia ingawa mume wangu yeye alishakuwa na watoto before hajanioa mimi namshukuru Mungu sipati manyanyaso yoyote ya suala la mtoto toka kwa mume wangu, daima anaamini siku mungu atashusha baraka zake.

Kama isemekavyo ndoa nyingi ndoana, kuna baadhi ya vidudu kwenye ndoa yangu vinanipa wakati mgumu sana, jamani msione wanandoa wanatoka nje ni wazi kuna kitu ndani, eeeehehe ile mada ya kusema "mume namtaka bf namtaka" ilinifurahisha, ingawa mimi bado sijafikia kutoka nje.

Tatizo la kwanza, ni mume wangu hupenda kupiga bomba sanaaa, yaani nyeto, mimi najiamini kwenye sita kwa sita naujua mchezo, nilipoanza kugundua hilo miaka mitano iliyopita. Kuna siku nikiwa sipo chumbani hujikamua mwenyewe, mara za kwanza nikawa mkali kwake nikimwambia ina maana mimi sikuridhishi?

Pia anapojua nina hasira naye huja juu kama moto wa kifuu. Any way si njia mbaya kujisaidia mwenyewe unapozidiwa ila tatizo linakuja pale mimi ninapotaka ku****t%%omb@@an###a, jamani jogoo halisimami sawasawa nadhani ni kutokana alishapiga nyeto wakati nimetoka, sometimes anafanya kushikilia ndio aingize ila ni ngumu.

Tabia yake hii imeniathiri kwani huwa najiuliza sasa mtu wa hivi ukiwa na housegirl au ndugu wa kike kwenye nyumba je si anaweza kuwa***8t44om^^b1a kama umetoka?basi mimi housegirl si mwajiri, kwa sababu nina sevente coter ya mlinzi basi namlazimisha mlinzi awe na mkewe ili aweze nisaidia kazi za ndani pale ninaposhindwa, lakini nae kwa mashariti kuwa ukiona sijaamka marufuku kuingia kwangu, pia mpaka nikuite ndipo uje ufanye usafi.Basi tabia yake hiyo inanifanya niumiee sana, na mimi ikafikia hatua najichua mwenyewe ila si enjoy sana kwani nahitaji denda, maromance, basi some time najiandaa mwenyewe kinyegenyege naandaa kitanda changu kwa mshambulizi nikijua leo kazi, basi mtoto wa kike natoa mapozi kitandani hata kama kuna baridi mimi najichanua nikijua namdip kumbe wapi!

Nimeshamueleza ten times bila kujirekebisha. Sometimes nimelala usiku mume wangu huamka kwenda computer kuangalia ma sex, na kujimaliza, nikitokea tu anashtuka anafunga program au hufungulia tv ya bedroom bila sauti anacheck kisha anaenda jimaliza.
Je jamani ndoa za namna hizi si vichochezo tu vya kusalitiana.

Tatizo la pili shost ni kuoga, mmh am so sorry kutoa siri za ma husband, yaani mimi ni mtoto wa Kitanga najua mapenzi, yaani yaweza pita siku 2 au 3 bila usafi wake wa mwili, na tuna warm shower muda wote, so sometime unajisikia kumshukia mume wako wakuta harufu za ajabu ajabu, sasa ukiwa pale unakula koni kidizaini jamaa anakukandamiza kichwa ili uende chini, yeye hajui kama nanyonya kwa pozi. Raha ya mapenzi usafi bwana hapo mtarambana mpendavyo, hata hili nimejaribu kumshauri bila mafanikio.

Lingine ndugu zanguni, mume wangu hataki mimi nijishughulishe na kazi yeyote ya kuniingizia kipato. Kila ukimwambia ooh mimi nina mshahara wa kututosha, pesa inatosha. Ila ukitaka labda ka' milioni ni for what, why, nalo hili limenichosha kuwa goli kipa tu. Samahani kwa mambo mengi ila naombeni ushauri, naogopa nikitoka kwa huyu nami uzazi wa matatizo, ni mwanaume gani tena atanivumilia."

This is how I look like
 
K

Kifarutz

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2012
Messages
1,743
Likes
69
Points
145
K

Kifarutz

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2012
1,743 69 145
Huyo kaishakuwa chronic. Yaani hana fleva na wanawake..! Cha msingi tafuta wa pembeni awe anakuridhisha..! Kama vipi Ni PM kwa maelezo zaidi
 
N

ng`wana ong`wa kulwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Messages
2,426
Likes
349
Points
180
N

ng`wana ong`wa kulwa

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2013
2,426 349 180
kwani umeombwa picha au vile siyo yako umeona vema umwaibishe mwenye hiyo picha?
 
M

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Messages
8,176
Likes
5,296
Points
280
M

Molembe

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2012
8,176 5,296 280
Afadhali umeweka picha ebu tuwekee ya mumeo anajichua, huyo mumeo ameishakuwa addicted sasa la kufanya mpeleke kwa Dr(kama atakubali) apate tiba usikubali kuvunja ndoa yako kwa mikono yako mwenyewe mshauri fanya ubunifu mwingine maana inawezekana humuridhishi
tata Molembe.
 
Last edited by a moderator:
M

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Messages
8,176
Likes
5,296
Points
280
M

Molembe

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2012
8,176 5,296 280
kwani umeombwa picha au vile siyo yako umeona vema umwaibishe mwenye hiyo picha?
Amewawahi wale wa ''weka picha'' mimi nauliza Link umeweka ya nini maana sielewi.
tata Molembe.
 
Last edited by a moderator:
jamiif

jamiif

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Messages
2,415
Likes
28
Points
135
jamiif

jamiif

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2012
2,415 28 135
hongera shosti umejaaliwa mashallah! mambo ya picha si mchezo! pole sana ila Mwenyezi Mungu ni mwema, kwanza jaribu kuwa karibu na mumeo kwa kumuelimisha kuwa bomba sio nzuri kwani km hamkutani mtapata vp watoto? na inawezekana yeye ndio ana tatizo linalosababisha kutopata watoto...sali sana ndg yangu ili mumeo awe sawa. pole sana mama.
 
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Messages
17,021
Likes
14,892
Points
280
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2013
17,021 14,892 280
kama utahitaji ushauri wangu ni-PM
 
Daud omar

Daud omar

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2011
Messages
2,464
Likes
34
Points
145
Daud omar

Daud omar

JF-Expert Member
Joined Apr 4, 2011
2,464 34 145
Hi ipo kipromo promo zaid, ngoja waje waze wa promosheni
 
Rada

Rada

Senior Member
Joined
Feb 29, 2012
Messages
123
Likes
2
Points
35
Rada

Rada

Senior Member
Joined Feb 29, 2012
123 2 35
Umemaliza tatizo la picha!!
Ila kama ndo ulivyo na mumeo anapiga nyeto,iko shida mahala.
otherwise ana pepo la kipekee akaombewe.

CORAL

CORAL

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Messages
2,566
Likes
653
Points
280
CORAL

CORAL

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2011
2,566 653 280
Lovebird, mumeo ana tatizo la addiction katika masturbation. Sio kwamba hakupendi wala haumridhishi kwenye sex. Kwanza wewe mtoto wa Tanga. Nyie ndio mnapora maume za watu kule Zanzibar hadi wake zao wanaandamana. Sio kwa sababu ya limbwata ila kwa sababu mnaujua mchezo kwenye 6 x 6!
Sasa Lovebird mumeo anahitaji counselling lakini kwanza ajitambue kuwa ana tatizo la uraibu wa kupiga punyeto. Vinginevyo anapocheck picha za x inaposimama si angekuwa anakuja kwako fasta na kukuchania nguo ili awahi kujisevia? Kwa nini akimbilie kujichua wakati wewe upo? Ujue hilo ni tatizo.
Pia wewe kutozaa sioni kama ni tatizo la kukuzuia kusepa. Kama mwanaume hakuhitaji kimwili sasa hiyo ni ndoa? Utaendelea kuumia kisaikolojia hadi lini? Ulifata kwake chakula na vinywaji? Si hata kwenu vipo? Na je mtazaaje bila kusex? Si anavyopiga chenga anamiss chance yoyote ya kukupa mimba! Isitoshe wewe kuondoka kwake sio lazima imaanishe kuachana unaweza kumtia adabu kwa njia hiyo akafikiria kuacha huo mchezo wake mchafu. Maana wenzetu wanasema actions speak louder than words.
 
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2009
Messages
18,312
Likes
6,055
Points
280
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2009
18,312 6,055 280
Biashara ni matangazo.
We yako si utangazi... ushasikia matangazo ya bangi, au unga... lakini wanunuaji wanajuwa wanapataje bidhaa hizo pamoja na kwamba hazitangazwi...
 
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Messages
14,956
Likes
5,968
Points
280
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2011
14,956 5,968 280
Mkuu pole sana kwa maswahibu hayo
vumilia ndiyo haki ilivyo.
Kama utaweza ni PM
 
harakat

harakat

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
2,906
Likes
779
Points
280
harakat

harakat

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
2,906 779 280
Mi nafikiri ww ndio umefeli hapo kumbadilisha au la hakupi shavu humvutii ndio maana anakua anapiga bomba kama uanavyoelezea nipim nikupe maujanja kidogo
 
C

Cyan6

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Messages
4,537
Likes
36
Points
0
C

Cyan6

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2013
4,537 36 0
Dah mzigo hatareee huu!! Ngoja na mimi nimalize style ya bomba!!!
 
kalou

kalou

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2009
Messages
4,835
Likes
1,681
Points
280
kalou

kalou

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2009
4,835 1,681 280
kwa hiyo picha....subiti ma PM
 
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
27,735
Likes
2,006
Points
280
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
27,735 2,006 280
Lawama

"Mimi ni mdada, mwenye miaka 30, pia nipo kwenye ndoa miaka 8. Kwa bahati mbaya nipo kwenye lile kundi wasiokuwa na watoto ila si tasa, nikiwa kwenye ndoa niliwahishika ujauzito ukafikisha miezi 8 ikaharibika na kufanyiwa upasuaji hadi leo hii sijabahatika tena.Pia ingawa mume wangu yeye alishakuwa na watoto before hajanioa mimi namshukuru Mungu sipati manyanyaso yoyote ya suala la mtoto toka kwa mume wangu, daima anaamini siku mungu atashusha baraka zake.

Kama isemekavyo ndoa nyingi ndoana, kuna baadhi ya vidudu kwenye ndoa yangu vinanipa wakati mgumu sana, jamani msione wanandoa wanatoka nje ni wazi kuna kitu ndani, eeeehehe ile mada ya kusema "mume namtaka bf namtaka" ilinifurahisha, ingawa mimi bado sijafikia kutoka nje.

Tatizo la kwanza, ni mume wangu hupenda kupiga bomba sanaaa, yaani nyeto, mimi najiamini kwenye sita kwa sita naujua mchezo, nilipoanza kugundua hilo miaka mitano iliyopita. Kuna siku nikiwa sipo chumbani hujikamua mwenyewe, mara za kwanza nikawa mkali kwake nikimwambia ina maana mimi sikuridhishi?

Pia anapojua nina hasira naye huja juu kama moto wa kifuu. Any way si njia mbaya kujisaidia mwenyewe unapozidiwa ila tatizo linakuja pale mimi ninapotaka ku****t%%omb@@an###a, jamani jogoo halisimami sawasawa nadhani ni kutokana alishapiga nyeto wakati nimetoka, sometimes anafanya kushikilia ndio aingize ila ni ngumu.

Tabia yake hii imeniathiri kwani huwa najiuliza sasa mtu wa hivi ukiwa na housegirl au ndugu wa kike kwenye nyumba je si anaweza kuwa***8t44om^^b1a kama umetoka?basi mimi housegirl si mwajiri, kwa sababu nina sevente coter ya mlinzi basi namlazimisha mlinzi awe na mkewe ili aweze nisaidia kazi za ndani pale ninaposhindwa, lakini nae kwa mashariti kuwa ukiona sijaamka marufuku kuingia kwangu, pia mpaka nikuite ndipo uje ufanye usafi.Basi tabia yake hiyo inanifanya niumiee sana, na mimi ikafikia hatua najichua mwenyewe ila si enjoy sana kwani nahitaji denda, maromance, basi some time najiandaa mwenyewe kinyegenyege naandaa kitanda changu kwa mshambulizi nikijua leo kazi, basi mtoto wa kike natoa mapozi kitandani hata kama kuna baridi mimi najichanua nikijua namdip kumbe wapi!

Nimeshamueleza ten times bila kujirekebisha. Sometimes nimelala usiku mume wangu huamka kwenda computer kuangalia ma sex, na kujimaliza, nikitokea tu anashtuka anafunga program au hufungulia tv ya bedroom bila sauti anacheck kisha anaenda jimaliza.
Je jamani ndoa za namna hizi si vichochezo tu vya kusalitiana.

Tatizo la pili shost ni kuoga, mmh am so sorry kutoa siri za ma husband, yaani mimi ni mtoto wa Kitanga najua mapenzi, yaani yaweza pita siku 2 au 3 bila usafi wake wa mwili, na tuna warm shower muda wote, so sometime unajisikia kumshukia mume wako wakuta harufu za ajabu ajabu, sasa ukiwa pale unakula koni kidizaini jamaa anakukandamiza kichwa ili uende chini, yeye hajui kama nanyonya kwa pozi. Raha ya mapenzi usafi bwana hapo mtarambana mpendavyo, hata hili nimejaribu kumshauri bila mafanikio.

Lingine ndugu zanguni, mume wangu hataki mimi nijishughulishe na kazi yeyote ya kuniingizia kipato. Kila ukimwambia ooh mimi nina mshahara wa kututosha, pesa inatosha. Ila ukitaka labda ka' milioni ni for what, why, nalo hili limenichosha kuwa goli kipa tu. Samahani kwa mambo mengi ila naombeni ushauri, naogopa nikitoka kwa huyu nami uzazi wa matatizo, ni mwanaume gani tena atanivumilia."

This is how I look like
View attachment 126224
kazi anayo mdafada
 
B

BIG RESULTS NOW

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Messages
673
Likes
1
Points
0
B

BIG RESULTS NOW

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2013
673 1 0
Kwaiyo ndo umeamua kuja kunidhalilisha humu sio. Kwa taarifa yako kupiga bomba siachi na wewe sikuachi........sijaanza leo nimekuwa addicted na hii kitu kitambo sana, muda mwingine naogopa hata kwenda bafuni kuoga mana kale kapovu ka sababu ya Ayu kakiteremka tu maeneo ya dushelele ni noma lazma nibombeke.....Kwaheri nakusuburi kwenye Kamat kuu CC nikusomee mashtaka yako, huu ni uhaini!!!!
 
Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined
Sep 1, 2011
Messages
3,237
Likes
87
Points
135
Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined Sep 1, 2011
3,237 87 135
Matatizo kama haya yapo katika ndoa na nimeshawasaidia wanandoa wengi sana mambo yakarudi sawa, mleta mada naomba unitumie PM tuongee vizuri huko.
 
Forum statistics

Threads 1,252,214
Members 482,048
Posts 29,800,701