Kaamua tukapime,yeye ndo kakutwa POSSITIVE.

eddy brown

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
404
500
Baada ya kuonana bila kujikinga kwa miezi 2,yeye akaamua tukaangalie afya zetu.Majibu yakaja ye ndo yuko POSSITIVE mimi NEGATIVE.Hakuweza amini na akasema kama nikimuacha atajiua kwani hakuna atakaemtaka tena.Mi nikamwambia siwezi muacha na sitomwambia mtu.Baada ya hapo tukawa tunatumia kinga ila simuoni kama zamani na nataka nimuache kiustaarabu.Je nifanyeje?
 
dist111

JF-Expert Member
Nov 29, 2012
3,346
2,000
Dah! Taabu kweli kweli, ila kama umeshashtukia ni afadhali mtakuwa makini zaidi!

Ukweli niujua kuhusu ngono ni kuwa ni heri utembee na mtu usiemwamini kuliko kutembea na unayemuani! USipomuani mtu kinga ni lazima, ila ukiwa na kademu uakaa nako 3month ukaanza kujenga uaminifu kinachofuatia manjanga!
Kwa hiyo ingawa ni ngumu kuwa na mtu aliyeathirika ila believe me ni bora mara mia kuwa naye huyo kuliko kuanza mchezo wako kwa demu mwingine
 
kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
5,969
2,000
Baada ya kuonana bila kujikinga kwa miezi 2,yeye akaamua tukaangalie afya zetu.Majibu yakaja ye ndo yuko POSSITIVE mimi NEGATIVE.Hakuweza amini na akasema kama nikimuacha atajiua kwani hakuna atakaemtaka tena.Mi nikamwambia siwezi muacha na sitomwambia mtu.Baada ya hapo tukawa tunatumia kinga ila simuoni kama zamani na nataka nimuache kiustaarabu.Je nifanyeje?

Poleni wote.Nakushauri urudie kupima baada ya miezi mitatu,usimnyanyapae sana kwani huwezi jua kwa sasa

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Howt Lady

JF-Expert Member
Jul 15, 2013
1,482
1,500
Pole sana mkuu vuta subra tena huenda nawewe ukawa tayari uko POSITIVE nenda karudie kupima bAada ya miez 3 wewe na huyo mwenza wako......wala usimuache gandana nae huyo huyo usiharibu kwingine!!!!!!!

Pole saana
 
Barasu

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
1,151
1,170
Baada ya kuonana bila kujikinga kwa miezi 2,yeye akaamua tukaangalie afya zetu.Majibu yakaja ye ndo yuko POSSITIVE mimi NEGATIVE.Hakuweza amini na akasema kama nikimuacha atajiua kwani hakuna atakaemtaka tena.Mi nikamwambia siwezi muacha na sitomwambia mtu.Baada ya hapo tukawa tunatumia kinga ila simuoni kama zamani na nataka nimuache kiustaarabu.Je nifanyeje?

Pole sana. Kwa vipimo vya Tanzania, subiri tena upime baada ya miezi mitatu!
Ukiwa "safi" sikushauri kuendelea na huyo mwenzako! Uwezekano wa kukuambukiza virusi ni mkubwa!

Hivi, umeshafahamu mwenzi wako ana virusi halafu bado mashine inasimama kwake, au hamu inakujia juu yake?

Majanga!
 
nako g

Member
Oct 13, 2011
32
0
point ya muhimu ni kwenda kupima tena baada ya miezi 3..ukiwa neg naomba umuache...ukiwa positive please baki naye mana hakuna HIV mpya.
 
Chum Kane

JF-Expert Member
Sep 16, 2013
1,002
1,500
ukute na wew unayo au utapata,usinyoshe vidole..any1 can get HIV

I dont think i pointed fingers there...what i meant is jamaa ana ujasiri,for me hata nikiwa + sina ujasiri wa kutembea na mtu alie salama!!!got my point?
 
Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
28,286
2,000
Ulimuahidi kuto kumuambia mtu.
Kwahiyo jf hakuna watu?
Unaowaomba ushauri sio watu?
Kwanini umeamua kuvujisha siri uloahidi kuitunza?

Tuanze na hapo kwanza
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
41,228
2,000
Aisee........nikisikia hizi ishu huwa naogopa sana

Mara ya mwisho mimi kupimaga hii kitu kuna contract ya kazi nilipata ughaibuni na medical examination ilikuwa ni lazima, nikasalimika

Lakini kwa hiyari yangu bila kuumwa nchi hii mimi bado hujanipisha vipimo vya hiyo kitu.

Tangu ule mkasa wa Agha khan hospital walipovunja uchumba wa watu kwa wao kutotoa vipimo sahihi kwa kweli sipimi ng'o nchi hii.
 
Heaven on Earth

JF-Expert Member
Mar 21, 2013
37,139

hahahaaaaa hiyo ishu ya Agha khan nimewahigi kuisikia...........

mie niliendaga ila kitambo kidogo na sa hivi nna mpango wa kwenda ila naogopaje........
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
41,228
2,000
hahahaaaaa hiyo ishu ya Agha khan nimewahigi kuisikia...........

mie niliendaga ila kitambo kidogo na sa hivi nna mpango wa kwenda ila naogopaje........

Ya nini kujitia pressure za bure, utapima pale inaporadhimu au ukiwa na ujauzito, au huna plan ya kuzaa?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom