Mwanafunzi wa kiume SAUT afanyiwa Operation.

B.G TANTAWI

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
495
250
Mwanafunzi wa SAUT jana linahifadhiwa amefanyiwa operation baada ya kunywa DAWA kali inayodhaniwa ni ya kurefusha Uume wake, baada ya kutumia dawa hiyo ndipo mpenzi wake hakutokea na kwa maelezo ya madaktari ni kunywa alitumia dawa nyingi sana, kwa siku tatu mfululizo Uume wake ulikuwa umesimama sana, ndipo akabidi apelekwe Hospitali ya Bugando, madaktari wa Bugando walipompokea walimpigia mkuu wao wa idara ili kupata ushauri wake wa nini cha kufanya, Baada ya mkuu wa idara kufika na kumuona mgonjwa na kupata maelezo yao yeye akawauliza "Mnasubiri nini kumfanyia operation"? kateni mishipa!! ndipo mara moja mwanafunzi huyo akakatwa mishipa yake ya uzazi.

Hivyo kwa mujibu wa madaktari, kijana huyu hatakuwa na uwezo wa kupata mtoto wala kushiriki tendo la ndoa.

Madaktari wamesema kuwa, kisayansi, hakuna mwanaume anayeweza kumridhisha mwanamke zaidi ya yeye mwenyewe kuumia tu.
 
High Vampire

JF-Expert Member
Nov 17, 2012
2,138
2,000
Hawajaenda kusoma ila mapenzi ndio kauli mbiu sasa nasikiaga mwanza kuna machangu mengi sangeenda kununua
 
tall gal

Senior Member
Oct 24, 2013
102
0
SAUT napo huwa wanavijihistoria.....nmekmbka yule alooza sehem nyeti........ Haya kweli majanga ya snura
 
Mapi

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
6,853
1,250
mmh! Hivi kumbe hata dawa ya kurefusha mpini lazima mpenzi atokee!!! Halaf DEMBA umeskia madaktari walichosema eee haya sasa Kaizer usipate tabu tena.
 
Last edited by a moderator:

josephmasamaki

Senior Member
Apr 27, 2011
163
225
Mwanafunzi wa SAUT jana linahifadhiwa amefanyiwa operation baada ya kunywa DAWA kali inayodhaniwa ni ya kurefusha Uume wake, baada ya kutumia dawa hiyo ndipo mpenzi wake hakutokea na kwa maelezo ya madaktari ni kunywa alitumia dawa nyingi sana, kwa siku tatu mfululizo Uume wake ulikuwa umesimama sana, ndipo akabidi apelekwe Hospitali ya Bugando, madaktari wa Bugando walipompokea walimpigia mkuu wao wa idara ili kupata ushauri wake wa nini cha kufanya, Baada ya mkuu wa idara kufika na kumuona mgonjwa na kupata maelezo yao yeye akawauliza "Mnasubiri nini kumfanyia operation"? kateni mishipa!! ndipo mara moja mwanafunzi huyo akakatwa mishipa yake ya uzazi.

Hivyo kwa mujibu wa madaktari, kijana huyu hatakuwa na uwezo wa kupata mtoto wala kushiriki tendo la ndoa.

Madaktari wamesema kuwa, kisayansi, hakuna mwanaume anayeweza kumridhisha mwanamke zaidi ya yeye mwenyewe kuumia tu.

Hii story ilivyokaa ina maswali mengi sana ... Mshipa wa uzazi ndo upi..?! Anayetoa ruhusa ya operation ni mkuu wa idara bila hata ya mzazi.. ?!?! etc...
Paragraph ya mwisho ndo haieleweki kabsa!
 
usungilo

JF-Expert Member
Aug 9, 2012
527
500
Story ya kijiweni tu hii.

Priapism na mishipa ya uzazi wapi na wapi? By the way, mishipa ya uzazi ndio nini?

Hizi ni habari za njiani ambazo kila mtu anaweza kuzisema. Ni mishipa gani iliyokatwa? Ingekuwa hivyo wale wa sickle cell wote wangekuwa hawana penis
 
Lovebird

JF-Expert Member
Sep 27, 2012
3,186
2,000
Mwanamke akiamua kukuliza anakuliza tuuuu...waliahidiana kukutana...jamaa kaandaaa risasiiiiii..... Binti kaingia mitini...BIG RESULTS (kawa hanisi)

Nadhani vijana wengi wana tatizo la kutokuwa na mbegu/manii ya kutosha...goli moja tu kwishneyyyy.....ndo wanaamua kutumia viagra
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom