Kwenu akina dada maneno yenu yamenichosha

M CM

JF-Expert Member
Nov 25, 2012
2,441
2,000
Za asubuhi, Hivi akina dada/wamama waliomo humu jamvini mna matatizo gani? Naombeni niwaulize hilo kwanza then nitaendelea kufafanua kwanini nimeuliza swali hilo, Hivi kama mtu ana jambo la msingi linalomsumbua moyo wake na amefunguka hapa jf akitegemea majibu mazuri na mafanikio makubwa kwa mada aliyoileta lakini mwisho wasiku anaambulia luga chafu, maneno ya kejeli na sifa za kijinga.KWA MFANO JAMAA ANATAFUTA MCHUMBA ILI AMUOWE. Mwisho wa siku majibu yanaishia kwa kuhoji harakaharaka una sura nzuri, salary slip yako inasomaje, weka picha, una nyumba,gari oh mara ana sura mbaya... oh mara mzee sana, huko mtaani hujawaona nk, Kwani huwa ni lazima upate mke kutoka mtaani kwako? je ni wangapi leo hii waliokutana sehemu mbalimbali kama vile kwenye baa, kwenye basi/daladala, mashuleni, kwenye mitandao nk na sasa ni mume na mke? je kweli kwamba wadada waliomo humu jf hamuhitaji kuolewa? na je mnaouliza sura nzuri zakwenu zikoje? Na mnaouliza cash kwani mwanaume ndiyo atm yako? Kwani uzuri wako unasaidia nini kwenye maisha na maendeleo ya familia yenu? NI VEMA KAMA WEWE HUNA HITAJI HILO AU TAYARI UNAYE WA KWAKO UKATULIA NA WALE WENYE HITAJI WATAJITOKEZA KWA MAANA HII KAZI NGUMU YA KUTAFUTA MKE WAMEPEWA WANAUME LAKINI WADADA PIA WANAHITAJI KUOLEWA ILA HAWAWEZI KUSEMA. Nabii hauwawi, ujembe umefika
 
Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
21,762

Ukileta jambo JF tegemea lolote. Likiwemo unalopenda kusikia na usilolipenda. Sasa kama wewe unataka uambiwe unalolitataka tu, basi JF hapakufai...
 
Wapoti

JF-Expert Member
Aug 28, 2013
2,820
2,000
Anayetafuta mke au mchumba pia naye hutoa sifa nyingi azitakazo hivyo ni sahihi pia kwa wanawake nao kuulizia kama na wewe una sifa wazitakazo ili wakuPM
 
Mapi

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
6,853
1,250
mkuu unapenda kuskia unachotaka kusikia tu?? Unataka kuamua utakachosikia? Ikifikia hapo itabidi tubadili jina la Jf (Jamii Forum) kuwa PF (Personal Forum)
 
badiebey

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
5,876
1,500
Heheh,dnt take JF seriously ushaambiwa,humu watu tunapunguzia stress na kujifunza smtym,
mim ni mdau mkubwa wa kuwaambia waweke PICHA NA SALARY SLIP...sasa mtaani tunafahamiana cwez kukuuliza hvo vtu cz nakuona atleast I HAVE A CLUE WE NI NANI,na JF hunijui sikujui bado nisiulize as well?‎؟‎!!!....picha ztaendelea kuulizwa km kawa,... ..hata kwny hii thread weka picha km vp
 
Ennie

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
7,140
2,000
Umejuaje hayo majibu ya karaha yanatolewa na jinsia ya ke pekee?
Hebu kafanye homework yako vizuri.
 
miss chagga

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
57,913
2,000
siyo kweli kwamba ni majibu ya haraka haraka na siyo kwamba hawapo serious ,.... nadhani majibu wanayotoa ndo kigezo kikubwa cha kumpata mume amtakaye kama anacho just sema................kingine lazima ukubali unapoweka uzi lazima ukutane na majibu unayotaka na usiyotaka okeey..............
 
M CM

JF-Expert Member
Nov 25, 2012
2,441
2,000
Heheh,dnt take JF seriously ushaambiwa,humu watu tunapunguzia stress na kujifunza smtym, mim ni mdau mkubwa wa kuwaambia waweke PICHA NA SALARY SLIP...sasa mtaani tunafahamiana cwez kukuuliza hvo vtu cz nakuona atleast I HAVE A CLUE WE NI NANI,na JF hunijui sikujui bado nisiulize as well?‎؟‎!!!....picha ztaendelea kuulizwa km kawa,... ..hata kwny hii thread weka picha km vp
Haya bana nshakusoma kumbe huku muda wote utani na pakupumzikia
 
M CM

JF-Expert Member
Nov 25, 2012
2,441
2,000
siyo kweli kwamba ni majibu ya haraka haraka na siyo kwamba hawapo serious ,.... nadhani majibu wanayotoa ndo kigezo kikubwa cha kumpata mume amtakaye kama anacho just sema................kingine lazima ukubali unapoweka uzi lazima ukutane na majibu unayotaka na usiyotaka okeey..............
Miss chaga mi nahisi wengu wa humu wameolewa ndo maana majibu mengi ya utani au kejeli
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom