Natafuta demu wakujikongoja nae hadi atakapoitwa mke wangu

Baba Kapompo

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
1,307
1,500
mimi kijna mwenye umri 22-25 natafuta mwanamke yoyote yule mwenye sifa zifuatazo Elimu drs la 7 nakuendele mrefu kiasi ,mnene kiasi(asiwe mwembamba) anyejua mapenzi (sio lazma) ,mchesi ,mwenye kujistiri (awe muislam) mvumilivu ,atakayehitaji mwanaumme mwenye sifa kama zangu ambazo ni mrefu,mweusi wa rangi,nimeshiba kidogo yaani kipande cha mtu mashallah najiweza na ni shababi(sijifagilii plz),elimu yangu dplm in cmptr science,nimejaijiri(mjasiriamali) naishi dar na wewe uwe dar.......kwa maelezo zaidi ni pm ..S E R I O U S L Y!!!!!!iiiiiiii
 

white girl

JF-Expert Member
Dec 5, 2013
1,363
0
Heee wewe unataka kumuonja tu,wengi huingia na gia ya kuoa kama wew kumbe ni wachafuz tu,badil lughaa
 

Baba Kapompo

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
1,307
1,500
Hapana white girl Mimi nimesena ukwel wangu tatzo nyie mnapendwa kudanganywa ndio mkubali ...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions
Thread starter Title Forum Replies Date
paramawe Natafuta Demu Love Connect 3
M Natafuta mwenza wa kiume Love Connect 47
T Natafuta mchumba wa kike Love Connect 1
Sam Drive Natafuta mwanamke aliye tayari kuingia katika ndoa Love Connect 2
S Natafuta Mwenza (Mwanaume) Love Connect 17

Similar Discussions

Top Bottom