pingu mkoka
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 434
- 112
Nataka kuoa mke wa kihaya,
sasa tatizo linakuja cjui ugen?watu wa huko wananiambia mwanamke wa kihaya bila kumshika Katelero anakuwa haridhiki, katelero ni nini,naomba mnisaidie nisije nikakosa mke tafadhali.