Anataka kuupamba mti wangu Xmas eve

Anataka kuupamba mti wangu Xmas eve

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,037
Reaction score
168,683
Jamani kuna dada amesema Xmas eve anataka aupambe mti wangu kwa mapambo na raha zisizo kifani.
najiuliza ni mti gani huo maana mi sijanunu mti wa Xmas
 
Achia mti wako upambwe malavidavi hadi ukome, ila mwambie asisau kuuvisha coat maana kuna wadudu hatari wanaoshambulia miti ya xmas isiyokingwa
 
Jamani kuna dada amesema Xmas eve anataka aupambe mti wangu kwa mapambo na raha zisizo kifani.
najiuliza ni mti gani huo maana mi sijanunu mti wa Xmas
BUJIIIIIIII....usitie aibu na U-nguli wako wote huo.... MUUULIZE!!!
 
Jamani kuna dada amesema Xmas eve anataka aupambe mti wangu kwa mapambo na raha zisizo kifani.
najiuliza ni mti gani huo maana mi sijanunu mti wa Xmas

Obuntu does not understand the bolded part of your post!

Mti hauwezi kupambwa kwa raha zisizo kifani! (right?)
 
Jamani kuna dada amesema Xmas eve anataka aupambe mti wangu kwa mapambo na raha zisizo kifani.
najiuliza ni mti gani huo maana mi sijanunu mti wa Xmas
Hivi biashara hio bado ipo...?1
 
mti wa bujibuji una matawi, hahahhahahahahah huo mti utakuwa unajua sana kutwanga
 
mti ni bujibuji jamani,,,

na wewe wa kwako unapambwa na nani oppsss haujasema kama mti wako unataka kupambwa ooppsss sorry hivi wewe ndio unapamba au unapambiwa ngoja kwanza nije nasikia njaa aiseee
 
lla ki ukweli bujibuji wewe ni mtu mwenye vituko sana, sijui ni lini utakapo acha fujo
 
Back
Top Bottom