Twenzetuni moshi

Kidasa

JF-Expert Member
Aug 1, 2013
300
225
Nasema twenzetu milimani Moshi kwa ajili ya kuondoa stress,Hakika sijutii kuwa na siku kumi na nne kwa ajili ya kwenda kusalimia nyumbani kila mwaka ,hua nikirudi akili yangu inakuwa fresh sana kwa ajili ya kusaka upya pesa.
  • Nasikiaga kitu cha pekee kwenye akili yangu ninapoamka asubuhi saa 3 nataza Mlima Kilimanjaro,theluji inavyotiririka,ubariki mzuri, ah naburudika kwa kweli.
  • Nikitazama garden nzuri iliyopambwa vizuri kwenye nyumba yangu,nikiangalia migombani ukijani ulivyotulia,ooh nafsi inaburudika haswa
Mchana napata ndizi kwa nyama,jioni naungana na marafiki zangu kwenda kupata kinywaji,huku ubaridi ukiendelea na macho yanafaharishwa na mandhari nzuri,hakika stress zote za mjini lazima ziishe.
Inapofika kuanzia tarehe 23.12 hadi 02.1 ni mfulilizo wa sherehe nyumba moja hadi nyingine,huku mnapata muda wa kwenda town,unatua Malindi Club,Mr Price,East Africa Pub,Pub Alberto stress zote kwishneee.
Nikirudi zangu Dar nipo saafi. KARIBUNI TUJUMUIKE PAMOJA.
 
Don Mangi

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,200
1,250
Dah...nmepamisiiijeee umesahau la liga...glaciers...duh naenda lini msh mimi
 
saudari

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
2,656
2,000
:majani7::majani7:Hakuna kitu kama Mbege!!!!!!:majani7::majani7:

Last edited by a moderator:

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Aug 17, 2011
35,620
2,000
Nasema twenzetu milimani Moshi kwa ajili ya kuondoa stress,Hakika sijutii kuwa na siku kumi na nne kwa ajili ya kwenda kusalimia nyumbani kila mwaka ,hua nikirudi akili yangu inakuwa fresh sana kwa ajili ya kusaka upya pesa.
  • Nasikiaga kitu cha pekee kwenye akili yangu ninapoamka asubuhi saa 3 nataza Mlima Kilimanjaro,theluji inavyotiririka,ubariki mzuri, ah naburudika kwa kweli.
  • Nikitazama garden nzuri iliyopambwa vizuri kwenye nyumba yangu,nikiangalia migombani ukijani ulivyotulia,ooh nafsi inaburudika haswa
Mchana napata ndizi kwa nyama,jioni naungana na marafiki zangu kwenda kupata kinywaji,huku ubaridi ukiendelea na macho yanafaharishwa na mandhari nzuri,hakika stress zote za mjini lazima ziishe.
Inapofika kuanzia tarehe 23.12 hadi 02.1 ni mfulilizo wa sherehe nyumba moja hadi nyingine,huku mnapata muda wa kwenda town,unatua Malindi Club,Mr Price,East Africa Pub,Pub Alberto stress zote kwishneee.
Nikirudi zangu Dar nipo saafi. KARIBUNI TUJUMUIKE PAMOJA.
Natia majeshi tarehe 22......Kiroho safiiiiiiii
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom