Wanawake Kwa Hili Mnakera

Me370

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
987
0
Ouuuuukayyyy this is how it goes.

It was yesterday bana mida ya jion, jirani kanipigia simu akanishtua kuna bonge la Foleni kuelekea Home. Yeye alinishauri nibadilishe njia ila mimi, Well nka decide ku waste time kwa office kwanza ques ziishe. Ilipofika mida ya kama 1800 hivi nkamuona dada mmoja wa makamo kiasi akiondoka peke yake. Jengo letu lilivyo ni kuwa kama unatumia mlango wa nyuma kutoka lazma upitie department yetu.

As usual, boys will always be boys nkaanzisha story na kumsihi kuwa mida hii mafoleni makubwa avute hata 15 mins hivi ndo aende. Pamoja na kuwa alikataa kusubiri kwa kisingizio kuwa kesha chelewa sana lakini alisimama kunisikiliza. Here I was alone na bidada kwenye mazungumzo ambayo hata hayakuwa na aim yeyote ya maana. Kiufupi huyu dada mi huwa namuona tu na najua anafanya kazi pale ofisini ila sijawahi hata kuongea nae.

Waswahili wanasema Mbuzi akifia kwa muuza supu kinachofuata kinajulikana. Basi na mimi when I ran out of things to say kwa huyu mrembo nkamuingia. Ingawa nia yangu haikuwa kumtongoza na nili expect akatae kabisa na aondoke ila aliendelea kunisikiliza huku akijichekesha. Sio kwamba ninampenda au nimevutiwa naye ila niliishiwa tu story na maneno ya kusema kwa wakati ule. Nlivyomuuliza kuwa ombi langu analipokeaje jibu lilinishangaza zaidi. Baada ya kuona hana dalili ya kukataa nkamfungukia kuwa nina mchumba wangu nategemea kumuoa hivyo this relationship ni Non-official. Hili pia halikumfanya akatae and she was up for it huku akijitamba kuwa yeye ni bingwa wa kutunza siri and no one will know.

I was Flabbergasted, sijui ni ushamba au ndo maharage ya mbeya ila how can you possibly say yes? The conversation lasted for abt 40 mins. Tukabadilishana contacts with a promise kuwa tutawasiliana. To be honest ningeendelea na hata kumuomba tukapate vinywaji na baadae guest angekubali kabsaaaaa 100%. Unajua nimeamini kuwa hakuna mwanaume M.alaya ila tatizo wanawake wanatuwekea K mezani kirahisi mno. Wengine hatupendi ku cheat ila kama wanawake hawabadiliki sidhani kama tutafanikiwa. As for the time being, I'm keeping her number just incase. Who knows she may be a very good friend after all.
 
Mashaxizo

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
6,712
1,225
Hapo ke wanakera kwa lipi???
...
What you have said, absolutely NON SENSE!
...
"Kuna foleni kubwa, so, asubiri dakika 15!"
akisubiri ndio atawahi kufika kwao au?
...
'huna stori na ukaamua kumtongoza!'
nani kakuambia kutongoza ni utani?
...
Out of site, out of mind!
 
PetCash

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,994
2,000
Have u also considered the fact that, alikataa men too much na muda unaenda na sasa hakuna wanaume walioko serious wanamfuata na akaomba ushauri akaambiwa ana masharti sana apunguze(aache kubanabana-as they may say). She used to see u na akakupenda sana but u never said a word to her? She goes to work everyday akihope utamsemesha japo salamu lakini hakuna kitu.
Then suddenly she is alone in the office with the love of her life? How can she go home and let this chance pass her?
What if she hoped maybe if she loves u so much and treat u extremely gud in this chance u have given her utaweza kumuacha mchumba wako n marry her. What if kaona if u want something gud sometimes u need to fight for it?

 • Sometimes mate its not about sex
 • Unaweza udharau wimbo wa JD usiusemee moyo but its a fact.
 • People have feelings too and no matter what u think they r not dolls for sex and dump.
 • Na hapa we ndo mwenye makosa bcoz somewhere u have a fiancee who is smilling knowing she is soon to be married to a wonderfull man.
 
byb sac

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
909
500
mhhh..wewe kwanini uliamua kumtongoza unalako wewe kama uliona huna story.ungemruhuxu aondoke.au ungemsimulia hadithi za shigongo.na zilivyo ndefu nahisi hata usingezimaliza ungechoka na kuamua kuondoka.badilika wewe kwa kuacha kutongoza ovyo alaaaaaaaaaaaaa..
 
DEMBA

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,244
2,000
wewe mwenyewe maharage ya mbeya. ungekuwa mwanaume wa kweli ungekaa naye na kumwambia haya unayotuambia sisi, hata wanawake hawapendi kucheat ila tatizo wanaume kama wewe mnawashawishi sana. so acha ujinga na uanze kubadilika
KUMBUKA; CHANGE NI MIMI, NI WEWE, NI SISI...
 
Mokoyo

JF-Expert Member
Mar 2, 2010
15,172
2,000
wewe mpuuzi sana, vitu vingine vikae moyoni mwako tu, unaposema hadharani unaonekana kapuku maji ya mtoni
 
The Martyr

JF-Expert Member
Nov 23, 2012
422
250
Have u also considered the fact that, alikataa men too much na muda unaenda na sasa hakuna wanaume walioko serious wanamfuata na akaomba ushauri akaambiwa ana masharti sana apunguze(aache kubanabana-as they may say). She used to see u na akakupenda sana but u never said a word to her? She goes to work everyday akihope utamsemesha japo salamu lakini hakuna kitu.
Then suddenly she is alone in the office with the love of her life? How can she go home and let this chance pass her?
What if she hoped maybe if she loves u so much and treat u extremely gud in this chance u have given her utaweza kumuacha mchumba wako n marry her. What if kaona if u want something gud sometimes u need to fight for it?

 • Sometimes mate its not about sex
 • Unaweza udharau wimbo wa JD usiusemee moyo but its a fact.
 • People have feelings too and no matter what u think they r not dolls for sex and dump.
 • Na hapa we ndo mwenye makosa bcoz somewhere u have a fiancee who is smilling knowing she is soon to be married to a wonderfull man.

Well analyzed! What if.......?
 
Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,464
2,000
Ouuuuukayyyy this is how it goes.

It was yesterday bana mida ya jion, jirani kanipigia simu akanishtua kuna bonge la Foleni kuelekea Home. Yeye alinishauri nibadilishe njia ila mimi, Well nka decide ku waste time kwa office kwanza ques ziishe. Ilipofika mida ya kama 1800 hivi nkamuona dada mmoja wa makamo kiasi akiondoka peke yake. Jengo letu lilivyo ni kuwa kama unatumia mlango wa nyuma kutoka lazma upitie department yetu.

As usual, boys will always be boys nkaanzisha story na kumsihi kuwa mida hii mafoleni makubwa avute hata 15 mins hivi ndo aende. Pamoja na kuwa alikataa kusubiri kwa kisingizio kuwa kesha chelewa sana lakini alisimama kunisikiliza. Here I was alone na bidada kwenye mazungumzo ambayo hata hayakuwa na aim yeyote ya maana. Kiufupi huyu dada mi huwa namuona tu na najua anafanya kazi pale ofisini ila sijawahi hata kuongea nae.

Waswahili wanasema Mbuzi akifia kwa muuza supu kinachofuata kinajulikana. Basi na mimi when I ran out of things to say kwa huyu mrembo nkamuingia. Ingawa nia yangu haikuwa kumtongoza na nili expect akatae kabisa na aondoke ila aliendelea kunisikiliza huku akijichekesha. Sio kwamba ninampenda au nimevutiwa naye ila niliishiwa tu story na maneno ya kusema kwa wakati ule. Nlivyomuuliza kuwa ombi langu analipokeaje jibu lilinishangaza zaidi. Baada ya kuona hana dalili ya kukataa nkamfungukia kuwa nina mchumba wangu nategemea kumuoa hivyo this relationship ni Non-official. Hili pia halikumfanya akatae and she was up for it huku akijitamba kuwa yeye ni bingwa wa kutunza siri and no one will know.

I was Flabbergasted, sijui ni ushamba au ndo maharage ya mbeya ila how can you possibly say yes? The conversation lasted for abt 40 mins. Tukabadilishana contacts with a promise kuwa tutawasiliana. To be honest ningeendelea na hata kumuomba tukapate vinywaji na baadae guest angekubali kabsaaaaa 100%. Unajua nimeamini kuwa hakuna mwanaume M.alaya ila tatizo wanawake wanatuwekea K mezani kirahisi mno. Wengine hatupendi ku cheat ila kama wanawake hawabadiliki sidhani kama tutafanikiwa. As for the time being, I'm keeping her number just incase. Who knows she may be a very good friend after all.

Kweli wewe mburula yaani umeleta huku ili iweje si ulimsimamisha mwenyewe na Je angekuwa mke wako ndio kasimamishwa hivyo how will you feel about.
Wanaume wengine bwana hawana hata chembe ya heshima..
 
Munkari

JF-Expert Member
Feb 9, 2013
8,090
2,000
Unayajua anayoyafanya huyo unayesema kuwa ni mchumba ako unataka kumuoa?? Ashakueleza ni wanaume wangapi wame/namtongoza aliowakatalia na aliowakubali? Who knows?? Think big!! Na usirudi hapa kutuomba ushauri! Alaaaaaah....p..u..u...m....b...aa...a...fffffff!!
 
daviey69

JF-Expert Member
Aug 12, 2013
2,237
1,225
change ni wewe! Unasubiri nani abadilike kwa niaba yako. Kama mtakuwa na mawazo mgando kama hayo usitegemee mabadiliko.umekaa pembeni unasubiri mtu mwimgine alete mabadiliko.
vitoeo ndo vya kubadilika kama havipo maeneo ya kuwindwa nani ataenda lindo? in other words DEMBA kama hakuna mwizi mlinzi ni wa nini?
 
Me370

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
987
0
Kweli wewe mburula yaani umeleta huku ili iweje si ulimsimamisha mwenyewe na Je angekuwa mke wako ndio kasimamishwa hivyo how will you feel about.
Wanaume wengine bwana hawana hata chembe ya heshima..

Ndugu yangu mila zetu hazitufundishi mwanamke kujilegeza kiasi hiki. Raha ya mwanamke akupe tabu sana. Tena ushindwe mpaka upeleke barua ya posa nyumbani kwao. Sawa mimi huenda nimekosea kumtongoza ila yeye ka compund kosa langu mara nyingi zaidi.
 
white girl

JF-Expert Member
Dec 5, 2013
1,363
0
Mmhhhh ngoja ninyamaze tu mie kumuanza umuanze mwenyewe sie utujumuishe pia kwani yeye hana nyege sio kila mwanamke ukimtongoza akakubali anakupenda au kakuzimia mno muda mwingine tunahitaji kupunguza nyege tuuu wala hatuna mpango wa kudumu
 
Me370

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
987
0
Have u also considered the fact that, alikataa men too much na muda unaenda na sasa hakuna wanaume walioko serious wanamfuata na akaomba ushauri akaambiwa ana masharti sana apunguze(aache kubanabana-as they may say). She used to see u na akakupenda sana but u never said a word to her? She goes to work everyday akihope utamsemesha japo salamu lakini hakuna kitu.
Then suddenly she is alone in the office with the love of her life? How can she go home and let this chance pass her?
What if she hoped maybe if she loves u so much and treat u extremely gud in this chance u have given her utaweza kumuacha mchumba wako n marry her. What if kaona if u want something gud sometimes u need to fight for it?

 • Sometimes mate its not about sex
 • Unaweza udharau wimbo wa JD usiusemee moyo but its a fact.
 • People have feelings too and no matter what u think they r not dolls for sex and dump.
 • Na hapa we ndo mwenye makosa bcoz somewhere u have a fiancee who is smilling knowing she is soon to be married to a wonderfull man.

Nimefurahi ulichoandika umenifanya nione tofauti kubwa na jinsi nilivyokuwa ninawafikiria wanawake wa aina hii. Thanksss for your time.
 
DEMBA

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,244
2,000
Picha ya nini kwa staili yake nadhani keshapigwa picha huko alikotoka. Nyie mnaoona ni sawa mwanamke kujilegeza kiasi hiki mnakosea.
sisi tunakushangaa wewe unayetongoza hovyo hovyo wakati ni mume mtarajiwa.........yaan kwa maneno mengine wewe ndio umekosea hapa......i
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom