Serious let's discuss this serious

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,210
2,000
Jamani kipi kinatangulia hapa mana mimi sielewi kabisa

1. Mapenzi
2. Pesa
3. Pesa + mapenzi

kipi hapo kinatakiwa kuwa namba moja? Kwanini?
 

UNDENIABLE

JF-Expert Member
Feb 26, 2013
2,303
2,000
Jamani kipi kinatangulia hapa mana mimi sielewi kabisa

1. Mapenzi
2. Pesa
3. Pesa + mapenzi

kipi hapo kinatakiwa kuwa namba moja? Kwanini?

Tusichanganye mambo. Ngoja kidogo nifikiri nje ya box!

Pesa----is the medium of exchange, nothing else.
Mapenzi(me vs ke)---ni attraction ya two poles -ve na +ve

Ok, km ni hvyo! Basi itakuwa ni ufinyu wa fikra tukitukuza pesa mbele ya mapenzi, kwa kuwa pesa ni mfumo wa kupata mahitaji yetu toka kwa watu wengine, na si vinginenevyo!
 

PetCash

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,993
2,000
Nadhani hii mada imediscussiwa sana na watu woooote kwenye mapenzi lazima hela inatumika.
Tuandamane hadi kesho lakini utatunzaje uhusiano na huna pesa. Rudi hata mwanzo wa dunia halafu ona mwanaume asiyekuwa na kitu anavyolaumiwa.
Be it mapenzi ama pesa ndo ianze ukiwa kwenye mahusiano lazima PESA ikutoke. Ni LAZIMA!!! can we end this business and all who dont agree then agree to disagree?
If u dont have money to spend then its better u concentrate ur energy and time in finding money mapenzi waachie waliojistabilize....
Kwanini msitafute tu hela kwanza?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom