Super mandela
Member
- Dec 7, 2013
- 22
- 3
Tuna tofautiana umri mkubwa sana nimemuacha 10yrs but uki tuaangalia kimuonekano wetu utasema kama tunapishana 4yrs vile,
Binti mzuri tu kisura,umbo mpaka tabia,good enough ni kua namfahamu tangu alipo kua mwanafunzi wangu alikua ana behave good class hata nje ya darasa,sijawahi kusikia skendo ya aina yoyote inayo mhusu licha ya kua darasa lao lilikua na wanafunzi walio pinda mnoo.
Wakati huo anasoma sijawahi kumtongoza wala yeye hajawahi kuonyesha sign of love kwangu,tume fall in love baada ya kukutana uraiani.
Ushauri wadau...