Mi ni mkristo, nina umri wa miaka 37 nahitaji mke mwema mwenye umri wa kuanzia miaka 28-42 Elimu yangu ni Diploma, ni mjasiriamali, Mke mtarajiwa awe hajazaa, awe muislam au mkristo, asitumie mkorogo kama anatumia ntamchukua na ataacha kutumia nitaipenda rangi aliyo nayo natural kama black au mweupe poa, awe tayari kuipa watoto 3 tu, asiwe mfupi awe saizi ya kati au mrefu, asiwe Mhaya, Mchaga au Mpare. elimu yake iwe kuanzia form 4 na kuendelea, asiwe na tamaa ya pesa, akiwa bikra nitashukuru sana, awe tayari kwenda kupima Ukimwi mara 3, asiwe na mtandao mkubwa wa marafiki wanao penda kujirusha. Karibuni.