Je kama ni wewe ungemshauri nini,

kamanyora

JF-Expert Member
May 20, 2013
200
250
Wadau staff mwenzangu kaja kuniomba ushauri,

Anasema alimuoa mkewe akiwa na mtoto lakini alimuambia kwamba jamaa huyo waliezaa nae hajali huyo mtoto wala hamuudumii huyo mtoto,wala hana mawasiliano nae,huyu rafiki yangu ndo akawa anamuhudumia huyo mtoto na kumlipia ada ya shule na kila kitu,wiki iliyopita mkewe alisafiri jamaa akawa anamdadisi mtoto yule mtoto akamwambia kwamba hua anaongea na babake na pia amewahi kumtumia pesa kwa mamake kama mara mbili na pia kuna kipindi huyo babake alikuja hapa dsm(jamaa yuko mkoani) na akaambiwa na mamake,

sasa jamaa akawa anasema kuna nini mkewe anajaribu kumficha hadi anafikia hatua anatumiwa pesa na huyo jamaa na huku yeye anamkatalia?
akawa na mawazo sana,je ungemshauri nini?
 
kibella24

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
677
195
Asikurupuke, afanye uchunguzi taratibu tu japo watoto mara nyingi huwa wanasema ukweli. Ila asijali, awe mvumilivu tu atajua ukweli.Ndo mana watu wanaogopa san kuoa wanawake waliokwisha zaa na wanaume wengine kuepuka mambo km haya.
 
kamanyora

JF-Expert Member
May 20, 2013
200
250
Ukipenda boga penda na ua lake...

jamaa anampenda sana mtoto wa huyu mama na ndo maana hadi karo anamlipia yeye tena kwenye shule ya garama,

na anafanya hivi akijua kwamba huyu mwanamke hana mawasiliano na huyo bwana,kumbe sio anavyodhani
 
kamanyora

JF-Expert Member
May 20, 2013
200
250
Asikurupuke, afanye uchunguzi taratibu tu japo watoto mara nyingi huwa wanasema ukweli. Ila asijali, awe mvumilivu tu atajua ukweli.Ndo mana watu wanaogopa san kuoa wanawake waliokwisha zaa na wanaume wengine kuepuka mambo km haya.

kwa umri wa yule mtoto ni kwamba anajua kila kitu sio rahisi kuongopa ana miaka 13
 
kibella24

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
677
195
kwa umri wa yule mtoto ni kwamba anajua kila kitu sio rahisi kuongopa ana miaka 13

Ya, ndo mana nasema watoto mara nyigi hawadanganyi naushahidi wao unasikilizwa sn. Ila jamaa asipanic,aendele tu kuchunguza taratibu atajua ukweli mwisho wa siku. Then atachukua uamuzi sahihi ( kwa hekima,bila kukurupuka)
 
kalou

JF-Expert Member
Aug 22, 2009
4,942
2,000
siungi mkono unyanyasaji wa wanawake kwenye ndoa ila huyo mama anastahili kupigwa MAKOFI kadhaa kabla hajaanza kunyoosha maelezo....
Hakunaga UONGO mdogo....UONGO ni UONGO tu...
 
Comi

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
3,329
1,500
Tabu si uchunguzi tu. Lazima kujiuliza kama hadi wanatumiana fedha kuna nini kati yao? Je! Jamaa alipokuja hawakuonana kama walikuwa wanataarifiana hadi akafika dar? Iko kitu.

Mwambie jamaa yako atumie bongo yake
 
MTIMBICHI

JF-Expert Member
Apr 15, 2013
947
225
Yani umenikumbusha story ya kweli bi dada kaolewa ila ana kidumu nje kila akienda kwenye kidumu anaenda na mtoto wake aliemzaa kabla hajafunga ndoa, siku ya siku mtt huyo akampa baba yake wa kambo full story mpaka akampeleka wanakoendaga huko kwa uyo jamaa na ilikuwa issue.
 
Daudi1

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
6,842
2,000
Kuoa mwanamke aliyezaa na mwingne ianachangamoto kubwa kwani wanawake muda mwingne hawana msimamo,huyo jama yako amsubiri huyo mwanamama amkalishe kitimoto mtoto miaka 13 ni mkubwa anajitambua hawezi kueleza uongo
 
charty

JF-Expert Member
Oct 28, 2013
7,395
2,000
kwani kuna ubaya wa yy kuwasiliana na mzazi mwenziwe?maana kama. Mnavyojua. Mtalaka atongozwii si ajabu walikua na maugomvi zaman na baba watoto wake ila saivi wako vzuri so mi naona iko pouwer tu kikubwa heshima tu kati ya mwanamke na currently hubby ambaye ni rafk ako ww!na aache wivu
 
Daddo

JF-Expert Member
Jan 17, 2013
1,409

Rudi kwenye mada mkuu.
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,662
2,000
Haahaaaaaaaa! Its not a laughing matter!

Nahisi huyo mama anamdanganyaga tu mwanae asijisikie vibaya na kuona baba yake kamtelekeza! Hizo pesa ni mama tu alimpa mwanae akajua akimwambia zimtoka kwa baba yake atafurahi zaidi.

Mama hataki tu mtoto ajione mnyonge na ajisikie mpweke na asije kumchukia baba yake huko mbeleni. Maybe huyo baba anamnyanyasa so mama yake anacheza na psychology ya mtoto kuwa hata kama baba yako mlezi anakunyanyasa, your father still loves you and caresabou you, ili mtoto farijike.

Mwenzenu ndo maana nasita kuzaa manake kuna mazingira kumlea mtoto ni kumtesa.
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,662
2,000
siungi mkono unyanyasaji wa wanawake kwenye ndoa ila huyo mama anastahili kupigwa MAKOFI kadhaa kabla hajaanza kunyoosha maelezo....
Hakunaga UONGO mdogo....UONGO ni UONGO tu...

You should be ASHAMED for advocating DOMESTIC VIOLENCE! Hata mwanake akikukosea kuna hatua kibao za kuchukua ikiwemo kumuacha. ILA KUMINFLICT PAIN AND BODY INJURY KWA BNADAMU WENZIO ASIE NA UWEZO WA KUJITETEA NA KUJILINDA IS IN HUMAN, ANTI RELIGIOUS AND VERY BARBARIC!!!!!!!
 
kamanyora

JF-Expert Member
May 20, 2013
200
250
Haahaaaaaaaa! Its not a laughing matter!

Nahisi huyo mama anamdanganyaga tu mwanae asijisikie vibaya na kuona baba yake kamtelekeza! Hizo pesa ni mama tu alimpa mwanae akajua akimwambia zimtoka kwa baba yake atafurahi zaidi.

Mama hataki tu mtoto ajione mnyonge na ajisikie mpweke na asije kumchukia baba yake huko mbeleni. Maybe huyo baba anamnyanyasa so mama yake anacheza na psychology ya mtoto kuwa hata kama baba yako mlezi anakunyanyasa, your father still loves you and caresabou you, ili mtoto farijike.

Mwenzenu ndo maana nasita kuzaa manake kuna mazingira kumlea mtoto ni kumtesa.
Lara kwa maelezo ya huyu mtoto jamaa anasema ni kweli inawezekana alimtumia pesa maana siku za nyuma aliwahi kumtumia huyu mama sms usiku japo ilikuwa ya salam tu,jambo ambalo lilimfanya huyu mwanamme kumkalisha mkewe chini kiustarabu na kumwambia kwamba hiyo tabia ikome,kwa hiyo jamaa anasema kuna uwezekano wanawasiliana kwa siri,kuna maswali jamaa anajiuliza kwa nini awasiliane na huyu baba wakati kama ni matunzo anatoa zote na vizuri? na kama huyu mwanamme anampenda mwanae kwa nini basi asimchukue amsomeshe yeye?na kama jamaa aliweza kuja huku dar wakaonana si kuna uwezekano wao kufanya kitu?na jamaa anadai yeye mkewe anammbana kiasi kwamba hata cm zake huyu mwanamke hukagua,mm nilishindwa kwa kweli cha kumshauri maana alikuwa anaongea kwa hisia kweli
 
Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
9,991

sa mbona kama mhusika ni wewe mwenyewe?
 
Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
11,043
2,000
mbona hamna tatizo M pesa tu ndio wivu ukushike mbio jamii forum? Je kama baba yake alifulia na ndio kisa cha kumpora mkewe sasa kazinyaka tafuta pa kujificha.WANAWAKE WENGI HUWAKANA FIRST LOVER ZAO KWA KISA CHA KIPATO HASWA HIZI NCHI MASKINI.
 
Daudi1

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
6,842
2,000
kwani kuna ubaya wa yy kuwasiliana na mzazi mwenziwe?maana kama. Mnavyojua. Mtalaka atongozwii si ajabu walikua na maugomvi zaman na baba watoto wake ila saivi wako vzuri so mi naona iko pouwer tu kikubwa heshima tu kati ya mwanamke na currently hubby ambaye ni rafk ako ww!na aache wivu
Wewe unaona iko poa kwakuwa ni mwanamke,kwa maelezo ya mtoa maada ni kwamba huyo mwanamke alisema hawana mawasiliano na baba mwenye mtoto na ndo maana jamaa kachukua jukumu la kumsomesha mtoto,sasa swali liko hapa kwanini huyo mwanamke anafanya mawsiliano na aliyezaa naye kwa siri? mpaka amekuja dar na wameonana bila mumewe kujua,na matumizi ya mtoto anatuma kwa siri wkt mtoto anahudumiwa na baba wa kambo kwanini waweke siri? huyo aliyezaa naye si ajitokeze ili wamkabidhi mtot wake amlee mwenyewe? kuna nini hapo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom