Kifuta jasho cha leo

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
Pamoja nakuvuna pesa nyingi simba na yanga

kaseja juma anaongoza kundi la wachezaj wa

simba wanaopanga

kazi kweli kweli
 
Pamoja nakuvuna pesa nyingi simba na yanga

kaseja juma anaongoza kundi la wachezaj wa

simba wanaopanga

kazi kweli kweli


Unaweza ukapanga na bado ukawa na properties kibao. Wako wengi wa namna hiyo. Wanapanga lakini wana properties moja au zaidi ya moja. Si ajabu, labda kama una point ya ku-discuss hapa.
 
Unaweza ukapanga na bado ukawa na properties kibao. Wako wengi wa namna hiyo. Wanapanga lakini wana properties moja au zaidi ya moja. Si ajabu, labda kama una point ya ku-discuss hapa.[/QUOTE]

nadhani hapa haipo. halafu sijui hii kitu kwa nini iko hapa..
 
Samahani macho yamegoma kubadili jukwaa au? Hili ni jukwaa gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom