Fedha na athari zake katika mahusiano

RICH MAVOKO

Member
Dec 10, 2013
35
0
Ni ukweli ulio dhahiri kuwa fedha inaendesha maisha yetu hali kadharika hata mahusiano katika maisha yetu ya kila siku.WANAUME,tumekuwa tukifanya kazi kwa bidii ili kutafuta pesa kwa ajili ya maisha na wenzi wetu hali hii hutufanya kuwa busy sana na pengne tunalazimika kuwa mbali na wenzi wetu,bila kujali muktadha wa ubusy wetu wanawake huona kama wametengwa au humjali hali ambayo hupelekea mwanamke kutafuta mtu wa kumpa kampani na kumliwaza kwahyo ubusy wa kutafuta pesa unaweza kusababisha kuchapiwa.WANAWAKE,dada zetu hii tabia ya kupenda ya kupenda fedha inauza utu wenu na kuwafanya muonekane kama kiumbe cha starehe
 
Fadhili Paulo

Verified Member
Sep 1, 2011
3,220
2,000
Umechanganya habari, mwanzo umesema wanaume hulazimika kukaa mbali wakati mwingine sababu ya kutafuta pesa na wanawake kwa kujisikia upweke huamua kutafuta wanaume wa nje, mwishoni unasema waache kupenda pesa ili wasionekane viumbe vya starehe tu. Nadhani ungemalizia wanawake badilikeni vumilieni mihemko yenu tunapokuwa bize kuzitafuta.
 
ng`wana ong`wa kulwa

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
2,421
1,500
Umechanganya habari, mwanzo umesema wanaume hulazimika kukaa mbali wakati mwingine sababu ya kutafuta pesa na wanawake kwa kujisikia upweke huamua kutafuta wanaume wa nje, mwishoni unasema waache kupenda pesa ili wasionekane viumbe vya starehe tu. Nadhani ungemalizia wanawake badilikeni vumilieni mihemko yenu tunapokuwa bize kuzitafuta.

kweli mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom