crdb sasa atm kubuma siku kama leo
mnataka tuundiwe tume kwa kosa la
kukwepa majukumu? mnataka
tulazimishwe kujiuzuru? jitokezeni
hadharani tujue lengo ni nini? au
nyumba ndogo yetu ni moja...
Jamani naomba tushare experience kwa wale ambao imeishawatokea janga la kushika au kushikwa ugoni vp mlijisikiaje muda ule?tupe maoni yako ingawa ni machungu ya moyo.
Najaribu tu kujiuliza, mzee mwenzangu Bujibuji atakapo amua kuingia kwenye siasa, ndoa yake na Mamndenyi itaendelea kweli? Mama ni mnazi wa magamba wakati Bujibuji shabiki mkubwa wa vyama vya...
Yakiwa yamebaki masaa machache kuzaliwa Bwana Na Mwokozi wetu. Vyema kutakiana heri katika sikukuu hii tukufu na adhimu. Kwa upande wangu, nawawish hawa MERRY CHRISTMAS chief-mkwawa C6 njunwa...
Jamani,
Bro katoka Uingereza na mchumba wake, wote ni Watanzania na wameenda ughaibuni mwaka 2010 wakiwa ma boyfriend na nyumbani wakiwa hawamjui huyo binti.
Juzi usiku wameingia Tz kwa ajili ya...
Habari zenu wanajamvi,
Naombeni mnijuze kwa mitizamo yenu, kuna tatizo gani mpenzi wako akikupa pesa nawe ukaihesabu hapohapo kujua ni kiasi gani, nimekua nikiona wengi sana sana wadada yaani...
Hii riport ni kawaida kutoka kila mwaka, hasa kwa mkoa wa Dar Es Salaam.
Please, tuweke nani 'Mtani Jamii Forum' tabiri idadi ya hao watoto ni wa ngapi kwa mkoa wa Dar au Manispaa zake?
Huyu dada sijamuelewa! Jana jioni alipita na kikanga kimoja na t-shirt nyeupe. Nilivyomkaribia kanga ikadondoka! Haaa, kumbe kavaa chupi tupu nyeupe?
Nilijikaza nikaondoka zangu. Leo tena asubuhi...
This brings warmest wishes for a wonderful holiday season filled with every happiness.along with a new year that brings you everything you're hoping for.may the wonder of this celebration last not...
Nawasalimu!Ni member mpya humu jamvini,japo nilikuwa naingia Mara kwa Mara.Ni mwanamke niliyeolewa miaka 10 iliyopita,nina miaka 34,nina mtoto mmoja aged 3yrs.Tangu nimeolewa sijawahi kufurahia...
sponsor wangu hataki nipendeze wala niwe na kitu chochote kizuri et kisa ananilipia ada alafu u can imagine am taking my second degree yaan nikienda kuonana naye naendaje rafu sitakiw kuwa hata na...
Jamani hivi kumchukua bamedi wakati umelewa na kuja kumgegedea kwenye kitanda unacholala na mkeo wakati mkeo yupo safari hili suala wadau laweza kuwa laana?Na laana hiyo unaisafisha vipi?
Wanabodi Asalaam Aleykum!!!!!
Natumaini nyote mko poa na mnajiandaa vizuri kuzipokea sikukuu za mwisho wa mwaka.
Leo bana nimeona nishee na nyie jambo flani ambalo kadri siku zinavyoenda naona...
Bajeti yangu nasubiria ipitishwe na bunge la ubongo wangu.
Kwa siku tatu tu..
Yaani leo usiku mkesha...
Kesho sikukuu,
Na kesho kutwa
Tunaachana...
Ukuwa serious ni PM!!
Nitamwambia sina pesa, nitamtoa out mpaka kibanda cha mama ntilie. Nitamwambia tule mkate na maharage. Nitampatia mkate, pindi akianza kula atapata na mshangao baada ya kuona brand new Toyota...
Habari wadau. Hebu tujadili wadau. Kipi bora kati ya hivi katika kuanza maisha, Kukaa gheto na mshakaji wako ili kupunguza gharama au Kukomaa mwenyewe peke yako ? Hii ni pale unapokua ndo unaanza...
Kuna tabia hii imezoeleka sana kwa akina dada wa mujini siku hizi. Nimeshakutana nazo mara nyingi sana. Ila kilichonikuta hivi karibuni ni majanga.
Nimepanda zangu daladala, nikakuta viti vyote...