Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.5K
Posts
210.3K
Threads
7.5K
Posts
210.3K

JF Prefixes:

habari wanaJF,naomba ushauri,hivi unafanyaje kama mkeo hapatani na ndugu zako hata mmoja,ingawa ndugu ndio wanamletea chokochoko yeye ni mpole na ni mtu mzuri.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Soma hii tungo je kuna ukweli juu yake?Eti mwanamke nikama JIMBO MWENYE SERA NZURI NDIYE ANAYECHAGULIWA??Je hilo nikweli je imekaaje??
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wadau, kwa wale wenye watoto haswa wanaume naomba mnisaisie hili. Nina mtoto mmoja wa kike ana miaka 3,huyu mtoto ametokea kunipenda sana kuliko mama yake ingawa wote tunafanya kazi na...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Eti kamuacha kisa alikuwa anahudumiwa sana kila atakacho...
0 Reactions
10 Replies
988 Views
Namshukuru Mungu kwa kuwa ni rijali.Lakini pia wakati wa kula tunda huwa inanichukua muda mrefu sana bila kamanda kusinzia.Niseme 1,2,3 ndio jamaa walau anasinzia.sasa sijui niseme ni 3 times 1 au...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Jamani kuna mwanaume anauwezo wa kutofanya mapenzi kwa MIAKA 3? Mtu huyu hana tatizo lolote, yuko fit kabisaaa!Eti anakuwa anajizuia apatapo hamu ya kufanya tendo?Je inawezekana?
1 Reactions
92 Replies
6K Views
Nimepata mchumba lakini nilipoamua kujuaana kivituzi..zzz nilihisi kama nguvu ni nindogo kwani usimamaji wake sio wa digri 90 kama sio 100 na hasa kwa kimwana kama mie bado mwake mwake sasa...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Eee ndugu jana jua kali tulikuwa uwanjani tunashangilia Oman ilivyo ichapa Thailand 2-0 na tume qualified to round 4... tukipita huko ni Brasil 2014, moja kwa moja nategemea tutafika tu. Yani...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Inajulikana na watu wanadai kuwa wataalam wa mahusiano,waimbaji wa nyimbo za mapenzi,wataalam wa saikolojia n.k,hao wote ni wataalam sana wa kutoa ushauri na burudani/ushauri kwa wanandoa au...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Wiki iliyopita nilikuwa natazama kipindi cha Hard talk (BBC).Mwandishi alimuuliza Rais Yoweri Museveni ni kwa nini anakiuka haki za binadamu kuhusu mashoga (Ikumbukwe inaandaliwa sheria kali sana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu jamani ! Kuna swala moja huwa linanitatiza sana kuhusu hawa wanawake hususani katika maswala ya mahusiano ! Yaani wengi wao niliobahatika kukutana nao wana-compilications za...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Habari zenu wadau wa hii sekta!Swali ndio hilo hapo juu! Wengi wetu huwa tunajidai tupo seriously busy na pilikapilika za kila kukicha na kusahau kwamba wenzi wetu wanahitaji kufurahishwa...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Hello wapendwa, Kwa wapenzi/wanandoa linapotokea suala la mifarakano ya hapa na pale mpaka wengine kutaka kuachana, mnalichukuliaje suala la kujishusha? Hapa naongelea kuwa chini (kupunguza...
9 Reactions
96 Replies
8K Views
Nielewewavyo mimi kusonya ni ishara ya dharau au maudhi......inakuwaje katikati ya mushughuli mtu anasonya?(hasa nyie kinamama)........je ni dharau au ni nini?
0 Reactions
17 Replies
9K Views
Mwanaume anapenda through his eyes na mwanamke through her ears...Yani bandugu mkijua kumpiga lugha mwanamke basi atakupenda tu mana wao masikio ndo yanapenda, sisi mpaa macho yapende ndo tunapenda.
1 Reactions
120 Replies
8K Views
No man can satisfy a woman simply by WHAT HE DOES FOR HER. He fulfills her by allowing, motivating, and supporting her to be everything that SHE has a capacity and potential to be. In other words...
18 Reactions
182 Replies
10K Views
Ndugu wanafamilia wa jf kwa wale wataalam wa masuhala kama haya ya kutoa mbinu na namna ya kuweza kutoka na rafiki wa kike wa mpnzi wako naomba 2saidiane jamani tafaaadhari.:lol:
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Yani,imagine mtu kanipigia simu,me nilikua busy kwa mda huo,nkapokea nkamwambia niko busy kdogo na ka vp ntamcheki baadae!!sa hzi nampgia eti kanuna,kisa cha kununa ni mim kuchelewa kumtafuta.sa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wenye mvi tukubali ujana una mwisho na hivyo tuache kuhadaa vijana kuwa bado tumo wakati ni saa za majogoo......tuache kutia kanta vichwani ili tuonekane hatujazeeka kumbe masaa...
1 Reactions
59 Replies
5K Views
Wana wa Jamii, Muda si mrefu Cousin wangu (he) kanifikia akiwa macho pima. Kisa ni , palikua na kipindi kwenye Tv kinachotaka viewers wake waandike sms kutaja wanamzimikia msanii gani...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom