Wasichana wanapenda kununa jaman! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasichana wanapenda kununa jaman!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Perry, Mar 1, 2012.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Yani,imagine mtu kanipigia simu,me nilikua busy kwa mda huo,nkapokea nkamwambia niko busy kdogo na ka vp ntamcheki baadae!!sa hzi nampgia eti kanuna,kisa cha kununa ni mim kuchelewa kumtafuta.sa hapo nimsaidiaje tena huyo mtu wakuu?
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Wivu huo kaa chonjo
   
 3. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Sasa wewe gf wako hujui namna ya kumsaidia, unataka sisi tukusaidie au!
   
 4. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  female drama knows no limits!!!
   
 5. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,952
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  teh..teh..teh..madem wetu hawa wanazingua sana
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  kuna uzi wa kununa na kususa
  rejea notisi
  ntatoa mtihani
   
 7. M

  Miriamemmanuel Member

  #7
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani na nyie wanaume mnakosea unapokuwa busy unatakiwa umwambie mpenzi wako kwa upole kwa mahaba na kwa upendo sidhani kama mwanamke muelewa atakasilika.
   
 8. M

  Maswalala Senior Member

  #8
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mnunulie chips dume atafurah tu
   
 9. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  huyo anakutest tu,mkaushie one week ashike adabu yake!mi wangu hanuni hata kdg,nshachimba bit la kufa mtu,mtoto anajua sipendi huo utoto
   
 10. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #10
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  tena huo sio wivu tu ni wa kijinga kabisaaa
   
 11. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #11
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wanatingisha kibiriti.
   
 12. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #12
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  We nae umeweka msumari wa moto kwenye kidonda. Unatakiwa kupoza poza bana
   
 13. m

  mtukwao2 Senior Member

  #13
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  senetor vipi mkuu?? mbona unaniaibisha hawa watu bado hujui dawa yao wakinuna?? dawa moja mchape na fimbo ya plastic tena kwa hasira tumia msema wa ukitaka kumuua nyani.... utanipa matokea!
   
 14. roby2006

  roby2006 JF-Expert Member

  #14
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 399
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Na we nuna uone kama hajakutafuta labda kama hana maslahi na wewe
   
 15. Triple G

  Triple G JF-Expert Member

  #15
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 745
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Mkuu senetor watu wameanza kuwahi cable ya kugawa wireless ya pale library upande wa magazeti,?Hayo ndo mapenz ya wanavyuo maigizo tu,itabidi wiki ijayo nitafute gf kwani ndo namalizia hivyo,
   
 16. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #16
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Na wewe nuna.
   
Loading...