Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ambaye amesafiri kwa miles kukuona wewe Ambaya anakuomba msamaha japo kuwa akufanya kosa la kuomba samahani Ambaye analia sababu anakupenda/Amekumiss. Ambaye anajaribu sana kukurudisha pindi...
6 Reactions
51 Replies
7K Views
natafuta mdada au mwanamke wa kutoka nae kimapenzi,tukiendana nachukua jumla nichek 0759600847.
0 Reactions
0 Replies
692 Views
hello wana jf natafuta rafiki wa kike anaeishi dar sibagui dini,rangi wala kabila, awe na umri kuanzia miaka 25 up to 35 karibu kwa pm!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni zaidi ya miaka 15 hatujaonana mimi na huyo mdada, kapita mji ninapoishi kaamua kunitafuta, bahati nzuri kafanikiwa kupata namba kwa ndugu zangu anaohishi mji mmoja naye! Nikakubali kwenda...
10 Reactions
191 Replies
14K Views
Wasalaaaaaaaaaam wazee wa malavidavi mabibi na mabwana! Naomba kufanya utangulizi kwanza kabla sijasadifu title ya uzi huu! Kuna mshikaji wangu mmoja hv kaoa takribani miaka miwili sasa kaoa...
1 Reactions
51 Replies
5K Views
habari wana mmu leo katika pitapita zangu kwenye internet nimekutana na hii blog ya udaku http://www.udakuspecially.com yaani ni kwamba kilas stori ninayoisoma najikuta nimeshakutana nayo...
1 Reactions
45 Replies
4K Views
Ni kawaida kusikia Wanaume makazini au mahali popote pale pa mikusanyiko yetu kuwasifia baadhi ya wanawake wanaokatiza mbele ya macho yetu,kitendo hiki hutupelekea wakati mwingine hata kuingia...
45 Reactions
236 Replies
20K Views
Huwa nikisoma coment zake moyo wangu unalipuka, paaa! Nikizitafakari huwa nafikiria namna na yeye alivyo kiundani. Huwa nahisi ni mtu mwenye busara na hekima ambayo wengi wamekosa siku hizi...
3 Reactions
115 Replies
11K Views
hivi kwa nini mmekuwa na roho ya namna hii wanawake ? kwa nini hapendani kiasi hiki ?? inatia uchungu sana tena sana . .Leo asubuhi nilikuwa kwenye daladala linalotoka Gongo la mboto-Msasani na...
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Utengenezaji wa kucha na uoshaji miguu ni biashara inayokuwa kwa kasi hasa maeneo ya mijini ambapo wanawake wengi wanahusudu na kujihusisha na masuala ya urembo. Biashara hii inazidi kukua huku...
3 Reactions
50 Replies
8K Views
MSHAURI HUYU. Naitwa Janny,ninaishi jijini Dar es Salaam siku za hivi karibuni nimepata Mchumba ambae amepanga kunioa ili tujenge maisha na familia,lakini kuna mdada alinifuata na kuniambia kuwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
habarin, Pamoja na kuwa na wapenzi mbalimbali kwa muda mrefu nimegundua siwezi kutongoza kwani hata hao niliokuwa nao niliwapata kwa sifa za class akili hasa uwezo wangu wa hesabu na physics sasa...
1 Reactions
145 Replies
16K Views
Heshima kwenu wote wapenzi na washabiki wa jukwaa hili. Awali ya yote nipende kuwapongeza kwa jinsi mnavyotumia muda wenu kwa ajili ya kuwashauri ndugu zetu ambao huleta nyuzi za mambo magumu...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Naomba kabla ya kulala kama bado hujalala usome maandiko ya mwenyezi MUNGU. kama muislamu soma Quran na mkristo biblia japo aya moja tu hakika itakuwa kheri kwetu. kwa wakristo tusome zaburi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Closed
habar zen jamani? bilakupoteza kupoteza heruf zabure tuelekekwenye topc nan kabakwa na nyan? kunakijj kimoja hukokondoa hukondanindan kwenyehichokijiji kunahuyo bb ambayeanatawala hichokijj huwez...
0 Reactions
85 Replies
8K Views
Habari za asubuhi wadau Kuna msichana ambaye ni rafiki yangu wa karibu ameniomba nimtoe out leo maeneo ya ufukwe na mimi sehemu nilizozoea ni white sand hotel , jangwani sea breeze na kunduchi...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Wadau, mimi ni mdada wa miaka 27 nimemaliza chuo mwaka jana. Mweupe, mnene wa wastani, mrefu, sinywi pombe na sivuti sigara. Naishi maisha ya wastani. Mimi ni mkristo Natafuta mwanaume wa...
3 Reactions
39 Replies
10K Views
Habari wana MMU! Ningependa kujua hivi kuna uhusiano wowote wa muonekano wa mwanamke (hapa namaanisha mavazi, vipodoz anavyopaka,nywele) na aina ya mpenzi ambaye unategemea uwe naye? Hapa...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Kila mtu anatumia neno mapenzi kufanya anachotaka kufanya... http://youtu.be/gsVWR1WpTuU
0 Reactions
7 Replies
2K Views
inakuwaje baadhi ya wanndoa hawapendi kuvaa pete za ndoa miezi michache baada ya harusi,je vidole hunenepa kwa raha za ndoa so pete zinabana au ni kutaka kuendeleza libeneke mtaani bila...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom