Kupenda sio lazima kupenda Mwanamke tu...Hata nchi yako unaweza kuipenda kulko nafsi yako!

fazaa

JF-Expert Member
May 20, 2009
2,984
1,026
Eee ndugu jana jua kali tulikuwa uwanjani tunashangilia Oman ilivyo ichapa Thailand 2-0 na tume qualified to round 4... tukipita huko ni Brasil 2014, moja kwa moja nategemea tutafika tu.

Yani FIFA wametulazimisha tucheze mchana na tumekatazwa hata kuingia na maji ndani ya uwanja, lakini kwa kupenda nchi yetu hatukujali, na tukamtumia message Fifa president, Sepp Blatter nadahni ataisoma tu.

IMG_1116.jpg





Natoa tu mfano wa kupenda, sio lazima upende mwanamke, give us congratulation please kama hamtaki hakuna shida hata kwa kimoyo moyo ujumbe utafika tu....:biggrin:
 
Last edited by a moderator:
Mmmmh ngoja wadadavuaji waje wanidadavulielie maana hapa siwezi Kudadavua chochote!
 
Back
Top Bottom